Aibu/shida gani ulikutana nayo stendi au kwenye basi

Nmetimba zangu chuo .......nashangaa Kuna mdada mkali Sana but tuna mazoea kidogo ananiita

Labani......vipi nikikuambia kitu fulani hautakasirika?

Nikwamwambia .....sema tu mama ...usiwe na wenge..

Akajibu ...kweli ulisemalo ?

Duuuuh baada ya kuona anasisitiza Zaid nikaanza kupata wenge but ikabidi ni mruhusu

Daaaaaah nlichanganyikiwa baada ya kuniambia .....suruali imechanika.......
Aiseeeh.....mbio nilizotoka nazo hapo......sitasahau
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Alafu unasemwa kama mtoto mbele za watu yule dada bora ata angeniita pembeni kwa upoleπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Mimi hzo naonaga vitu vidogo tu,Nacheka halafu naondoka.Kwani kibao kimeandikwa usikanyage ukoko?
 
Nilikata tiketi 24/12/2021 Kwa basi la Al saedy,Dar-Tabora,kwenda stendi asubuhi yake, yaani tarehe 25,basi halikuepo na hakuna taarifa!
 
We jamaaa ni mchomaji
 
Kupandishwa NEW FORCE la mbeya badala ya tunduma na maelezo nimewapa kuwa naenda sehemu moja inaitwa mlowo na tiketi yangu ikaandikwa DAR to TUNDUMA na mimi ndio mara ya kwanza kwenda huko aise yule dada hana utu hata kidogo ni mshenzi sana mpaka leo naichukia hio company
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Me juzi namsiaitiza konda aniiache kituo fulani kwa kuwa sikifahamu na nimeelekezwa hivyo akajibu sawa nisiwe na wasiwasi kwamza bado mbali sana, zimepita dk 20 namuuliza bado eti anasikitika.
 
Me juzi namsiaitiza konda aniiache kituo fulani kwa kuwa sikifahamu na nimeelekezwa hivyo akajibu sawa nisiwe na wasiwasi kwamza bado mbali sana, zimepita dk 20 namuuliza bado eti anasikitika.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nimecheka sn mkuu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Me juzi namsiaitiza konda aniiache kituo fulani kwa kuwa sikifahamu na nimeelekezwa hivyo akajibu sawa nisiwe na wasiwasi kwamza bado mbali sana, zimepita dk 20 namuuliza bado eti anasikitika.
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…hatari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…