NguoYaSikuKuu
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 681
- 1,020
Nashindwa kuelewa kwanini TFF na Serikali wameshindwa kupeleka hata mashabiki 50 katika hii michuano hii ya AFCON.
Nchi yetu Tanzania tumezidi sana siasa na ufisadi. Katika pesa ambazo CAF wametoa TSH 2.5 Billion kwa kila nchi, tumekosa hata fungu la mashabiki?
Ukiangalia kuna vinchi vidogo kama Cape Verde ina mashabiki wengi kuliko Tanzania. Hapo Ivory Coast ukiangalia kuna nchi zimejaza mpaka wapiga ngoma na mashabiki wapuliza vuvuzela, Kuna nchi unakuta ina mashabiki zaidi ya 200 wanashangilia na bendera zao.
Ina maana hakukua na mkakati wa mashabiki? Hatukua na fungu lolote kwa mashabiki?
Tumeshindwa hata kuchukua mashabiki 10 Simba, 10 Yanga, 10 Azam nk
Kwa kweli inatia Aibu.