NguoYaSikuKuu
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 681
- 1,020
- Thread starter
- #21
utakua unasikiliza mpira redioni.Mbona wameenda hujawaona wakiimba wimbo wa Taifa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
utakua unasikiliza mpira redioni.Mbona wameenda hujawaona wakiimba wimbo wa Taifa?
Nchi gani unazosema watu wameenda kwa nauli zao?Nchi ina lawama hii, hata wangepelekwa bado mngekuja kuanzisha uzi kua wanachezea pesa.
Nchi nyingine watu wameenda kwa gharama zao.
siasa kila sehemuTatizo la nchi yetu ni kuikumbatia CCM na kinachosikitisha zaidi hata wale wanaotakiwa kupaza sauti kwa niaba ya wananchi wamekuwa machawa na mfano wa watu hao ni Malasusa.
Nimeangalia 75% ya mechi zote.Nchi gani unazosema watu wameenda kwa nauli zao?
umeangalia AFCON mechi tofauti na Tanzania ,au unaleta siasa?
Yuko Mwijaku!Nashindwa kuelewa kwanini TFF na Serikali wameshindwa kupeleka hata mashabiki 50 katika hii michuano hii ya AFCON.
Nchi yetu Tanzania tumezidi sana siasa na ufisadi. Katika pesa ambazo CAF wametoa TSH 2.5 Billion kwa kila nchi, tumekosa hata fungu la mashabiki?
Ukiangalia kuna vinchi vidogo kama Cape Verde ina mashabiki wengi kuliko Tanzania. Hapo Ivory Coast ukiangalia kuna nchi zimejaza mpaka wapiga ngoma na mashabiki wapuliza vuvuzela, Kuna nchi unakuta ina mashabiki zaidi ya 200 wanashangilia na bendera zao.
Ina maana hakukua na mkakati wa mashabiki? Hatukua na fungu lolote kwa mashabiki?
Tumeshindwa hata kuchukua mashabiki 10 Simba, 10 Yanga, 10 Azam nk
Kwa kweli inatia Aibu.
Upeleke mashabiki kwa team ipi?Nashindwa kuelewa kwanini TFF na Serikali wameshindwa kupeleka hata mashabiki 50 katika hii michuano hii ya AFCON.
Nchi yetu Tanzania tumezidi sana siasa na ufisadi. Katika pesa ambazo CAF wametoa TSH 2.5 Billion kwa kila nchi, tumekosa hata fungu la mashabiki?
Ukiangalia kuna vinchi vidogo kama Cape Verde ina mashabiki wengi kuliko Tanzania. Hapo Ivory Coast ukiangalia kuna nchi zimejaza mpaka wapiga ngoma na mashabiki wapuliza vuvuzela, Kuna nchi unakuta ina mashabiki zaidi ya 200 wanashangilia na bendera zao.
Ina maana hakukua na mkakati wa mashabiki? Hatukua na fungu lolote kwa mashabiki?
Tumeshindwa hata kuchukua mashabiki 10 Simba, 10 Yanga, 10 Azam nk
Kwa kweli inatia Aibu.
Wale wameenda kutaliiMwijaku na Baba Levo wameenda.
Japo wamepelekwa na Silent Ocean
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kulikuwa hakuna haja hata ya kupeleka timu, achilia mbali mashabiki.
Mshikaji ni mkamaria inamuuma kwasababu alishawekeza kwa mrusi kuwa Tz ipate hata shuti moja tu on target..ila matokeo yake pesa yake imeliwa..so ameumia mnoooMashabiki hawa hapa
View attachment 2878866