Aibu TANZANIA tumeshindwa kupeleka mashabiki AFCON

Nchi ina lawama hii, hata wangepelekwa bado mngekuja kuanzisha uzi kua wanachezea pesa.

Nchi nyingine watu wameenda kwa gharama zao.
 
Tatizo la nchi yetu ni kuikumbatia CCM na kinachosikitisha zaidi hata wale wanaotakiwa kupaza sauti kwa niaba ya wananchi wamekuwa machawa na mfano wa watu hao ni Malasusa.
 
Nchi ina lawama hii, hata wangepelekwa bado mngekuja kuanzisha uzi kua wanachezea pesa.

Nchi nyingine watu wameenda kwa gharama zao.
Nchi gani unazosema watu wameenda kwa nauli zao?
umeangalia AFCON mechi tofauti na Tanzania ,au unaleta siasa?
 
Nchi gani unazosema watu wameenda kwa nauli zao?
umeangalia AFCON mechi tofauti na Tanzania ,au unaleta siasa?
Nimeangalia 75% ya mechi zote.

Nchi zenye mashabiki wengi nyingi ni zile zlilizokaribu na ivory coast.
Wamorocco wale wote wameletwa na serikali yao??

Nyie hapa bongo hata kiingilio kiwe 5000 tu hamjazo uwanja, mnasubiri hadi waseme bure ndo mtaweza kweli kwenda hata hapo Kenya tu??

Kama unaipenda timu yako ya taifa ungejichanga uende sio kila kitu unailaumu serikali tu.
 
Reactions: Tui
Yuko Mwijaku!

Inamaana leo ujamwona?
 
Upeleke mashabiki kwa team ipi?
Itakuwa ni matumizi mabaya ya rasilimali fedha.
 
Washabiki walionekana wale ni wenyeji ambao wamelipwa na bongo zozo..

Waziri w michezo kaenda na kamati yake eti kuangalia viwanja
 
Kilichaguliwa kikundi cha ccm kikaenda huko bora hawakupeleka mashabiki ni aibu tu
 
Ile list ya watu 20 hukuiona kweli...hapo TFF wamegawa mkwanja kwa hao "wahamasishaji" na iliyobaki posho kidogo kwa wachezaji na fungu kubwa wanachukua kina Karia na genge lake...imeisha hiyooooooo
 
Upeleke mashabiki wakaangalie mpira wa kisukuma?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…