Aibu TANZANIA tumeshindwa kupeleka mashabiki AFCON

Ila tuseme tu ukweli sisi Watanzania ni watu masikini sana!

Hivi kweli pamoja na watu kujifanya wanapenda mpira hapa Nchini na ma - vibe kama yote ya Simba na Yanga na wale ndo idadi ya mashabiki waliokwenda Ivory Coast kwenye mashindano ya AFCON?!!!!

Watanzania ni maneno maneno tu wengi hatuna pesa ni watu wa kutafuta pesa ya kula tu na maneno ya kiswahili meeeeeeeeengi!!

Kingine naturally Watanzania siyo watu aggressive kwenye jambo lolote la msingi!

Ni watu wa kuridhika sana ! Iwe ni kwenye michezo, siasa, uchumi , elimu n.k!

Mtu akishapata wali na maharage baaasi! Hata CCM ikitawala milele hajali!

Wachezaji wa Taifa Stars waliopopata goli moja baaasi utadhani wameshinda tayari fainali za AFCON ! Wanapooza mpira kina Mzamiru kila wakipata mpira wao ni kurudisha nyuma tu kwa kipa!
Sasa utapataje goli la ushindi kama wewe unacheza back pass tu!!?

Kiingereza pia hawajui hata wakichezewa faul hakuna mchezaji anaweza kum command Referee with commanding language hata akaangalie VAR!!
Wanategemea non verbal communication ( ishara)! Hopeless and disgrace people!

Hii yote inawezekana pia ni matatizo ya kihistoria kutokana na Nchi kuanza na mfumo wa kijinga wa Kijamaa wa Nyerere na kutomwaga damu wakati wa kudai Uhuru!
People are not aggressive naturally!
Most of Tanzanians are mediocres !
Bado tuna safari ndefu sana katika mambo mengi kama Taifa.
 
Hao washabiki wangewapataje, ndio wangechukuliwa bongo movies kibao hakuna cha maana wangefanya zaidi ya kujifotoa. Labda wangepeleka wachezaji wa zamani ingesaidia.
 
Shabiki hapaswi hamasishwa kuangalia timu aipendayo.
Tanzania hakuna mashabiki wa mpira bali wapiga kelele wa mpira wasioweza lipa hata 5000 na ndo maana Simba na Yanga hutoza 3000 na bado hawajazi
 
Wewe umeenda?
 
Kila kitu mnataka vya bure bure! Pumbavu kabisa!
 
Serikali ilitakiwa iwapeleke wale mashabiki wenye vigoma wale wanashangilia mwanzo mwishna wale wanapatikana tandale manzese mbagala huko buza nk
Wao wanatumia wakina mwijaku joti babalevel aiseee

Ova
 
Wangewalipa hata vijana wa huko na kuwapa jezi [emoji2][emoji2][emoji2] ingetosha pia.
 
Hv nchi za wengine Serikali ndio hugharamia mashabiki kwenda kicheki mechi za timu za taifa?
 
Wale hamasa ndio mashabiki wenyewe hao


Ten percent๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Wewe umeenda? Au unasubiri upelekwe na TFF
Tiketi za bure zimewaathiri
 
Reactions: Tui
Kila kitu mnataka vya bure bure! Pumbavu kabisa!
Wewe ndo mpumbavu mkubwa usio na exposure jinga fulani hivi. Kwa hiyo hujui kama kuna nchi zimepeleka mashabiki pale zaidi ya 200 kwa gharama za Nchi na chama cha Soka.
 
Wewe umeenda? Au unasubiri upelekwe na TFF
Tiketi za bure zimewaathiri
Mimi siwezi kwenda na majukumu yangu.
Naongelea majukumu ya nchi Unaleta michambo ya uswahilini. Naongelea kampeni ya nchi kama nchi kuhusu AFCON.
Kuna mtu na ujinga sana.
 
Uende ukashabikie timu gani sasa???? ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€
 
Hv nchi za wengine Serikali ndio hugharamia mashabiki kwenda kicheki mechi za timu za taifa?
Ndy maana yake

Nyie si mmewapeleka wakina mwijaku na wenzake na mmewagharamia

Ova
 
Hao mashabiki wangeenda kusaidia nini kwa timu bovu hivi? Ivory coast wakicheza uwanja wote unajaa nadhani matokeo yao unayo,

kiufupi timu inayocheza vizur hata kama haijaenda na mashabiki basi huko huko ugenini watajitokeza wapenzi wa soka burudani na kuwa mashabiki wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ