Aibu TANZANIA tumeshindwa kupeleka mashabiki AFCON

Ile michango ya hamasa nilidhani ni pamoja na hamasa ya washangiliaji
 
Ivory Coast wakiwa na mashabiki wao zaidi ya elfu hamsini uwanjani wamepigwa 4
 
Wewe ndo mpumbavu mkubwa usio na exposure jinga fulani hivi. Kwa hiyo hujui kama kuna nchi zimepeleka mashabiki pale zaidi ya 200 kwa gharama za Nchi na chama cha Soka.
Kama wewe ni mwanaume na unategemea vya bure, ipo siku utashikishwa ukuta na wanaume wenzako! Ahahahahaha!!!
 
Tumeshindwa hata kuchukua mashabiki 10 Simba, 10 Yanga, 10 Azam nk
Hao mbali sana,
Wapo wale waliochangishwa pale Johari Rotana, kuanzia taasisi za serikali na privates, wameshindwa hata kuonesha kwamba wametambua mchango wao kwa kuwa alika wakashangilie kile walichochangia kufanikisha...am sure zipo taasisi binafsi ambazo kama invitation i ingefanyika kwa vyovyote watu wao wangeenda kutoa support Ivory Coast na hii ingekuwa akiba ya kesho....nani watamchangisha tena kama serikali iliyoandaa ile fundraising imewatoseleq mbali....! Kuna kesho jamani msijisahau!!!
 
Kama wewe ni mwanaume na unategemea vya bure, ipo siku utashikishwa ukuta na wanaume wenzako! Ahahahahaha!!!
Kama baba yako anavoshikishwa ukuta sio... , ukiona mtu anaacha hoja anaanza matusi ni mbululazi.
Kwa taarifa yako mjadala huu hauhusu mabwabwa kama wewe.
 
Umeongea mkuu, Eti wanaahidi 1.3 Billion TSH ikifuzu round 16.

Hapohapo hakuna hata bajeti ya milioni 100 kwa mashabiki kushangilia timu.

Kuna mburulazi zinaniattack kama mimi ndo nilitaka kwenda Ivory Coast .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…