Aibu: TFF washangilia ranks za IFFHS huku wakiihujumu Simba iliyosababisha yote, makanjanja yakwepa kusema Simba ya 7 Afrika 98 duniani

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Huwezi amini ....yaani billion moja ya udhamini mwenza kwa mwaka imewatoa roho na imani na bila aibu leo wanashehereka ranks za ligi bora iliyo chini ya Tff ya mchongo na bodi chakavu ya ligi.

Ni hawahawa wanafiki walimzuia siingie uwanjani CEO wa team iliyosababisha ranks na heshima kwa nchi na kama haitoshi wakampiga faini na kumfungulia kesi polisi.

shame shame shame, udhamini wa matapeli ya soka umewachanganya kabisa.

PUMBAVU NA HII NDO THE SAME RANKS INAYOSEMA SIMBA YA 7 AFRIKA NA YA 98 DUNIANI
 
Simba ni ya 98 duniani kwa kipi fafanua mkuu.
 
hiyo ligi simba anacheza peke yake?
 
Hizo ndio akili za kiafrika/Tanzania...
 
Ndio maana kwa kulitambua hilo jana mkapongezwa kwa kupewa penati.
 
Wewe acha hizo kama huwezi kuchambua funga mdomo wako dili na mikolokolo wenzio. Kwani SSC wanacheza wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…