CHIZI VITABU
JF-Expert Member
- Jun 12, 2021
- 1,061
- 2,477
Inasikitisha sana kwa kweli hawa jamaa nilkuwa najua ni manguli wa habari za michezo wako sasa hivi saa 19.50 wanadanganya kuhusu habari ya florente ibenge wakidai ni kocha wa team y a taifa ya Dr Congo
ibenge kaacha kazi as vita anaelekea Orlando pirates ila hawa jamaa wako hapo studio wanadai kwamba atabaki na kazi yake ya team ya taifa, HIVI HAWA JAMAA HAWAJUI KWAMBA KOCHA WA TIMU YA TAIFA YA CONGO NI MU ARGENTINA NAITWA HECTOR CUPER?
Nafikiri ndiyo maana hivi vipindi ukiwa unaangalia you tube wakiwa live muda mwingi wako busy na simu labda wanakuwa wanaangalia information hata suala hilo hawalijui?au watasema bado zahera ni kocha msaidizi wa the leopards?
Kwa kifupi Yussuph mkule, kitenge na ambangile hawajui kwamba ibenge ana karibu miezi 3 siyo kocha wa Dr congo..heeee