Aibu: Wasafi FM michezo wanadanganya kuhusu ibenge na DRC national team

Aibu: Wasafi FM michezo wanadanganya kuhusu ibenge na DRC national team

nimefanya makosa kuwalalmikia? kama ni hivyo basi hata serikali yetu tusingekuwa tunailalamikia IKITUDANGANYA ,maana jibu lingekuwa kama vipi hama nchi....kama hawajui information ni aheri wanyamaze na siyo kudanganya, idiots
Hujafanya kosa ila trend ya kukosoa hivi vyombo vya habari inaongezeka na makosa yanayofanywa mengi ni yakukosa elimu na maadili ya kazi, basi tutafute njia sahihi ya kuwapata watangazaji

Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app
 
Waliodanganya jana studio alikuwepo kitenge,mkule,ambangilr na wote walikubaliana ibenge ni kocha wa the leopards
 
Inasikitisha sana kwa kweli hawa jamaa nilkuwa najua ni manguli wa habari za michezo wako sasa hivi saa 19.50 wanadanganya kuhusu habari ya florente ibenge wakidai ni kocha wa team y a taifa ya Dr Congo

ibenge kaacha kazi as vita anaelekea Orlando pirates ila hawa jamaa wako hapo studio wanadai kwamba atabaki na kazi yake ya team ya taifa, HIVI HAWA JAMAA HAWAJUI KWAMBA KOCHA WA TIMU YA TAIFA YA CONGO NI MU ARGENTINA NAITWA HECTOR CUPER?

Nafikiri ndiyo maana hivi vipindi ukiwa unaangalia you tube wakiwa live muda mwingi wako busy na simu labda wanakuwa wanaangalia information hata suala hilo hawalijui?au watasema bado zahera ni kocha msaidizi wa the leopards?

Kwa kifupi Yussuph mkule, kitenge na ambangile hawajui kwamba ibenge ana karibu miezi 3 siyo kocha wa Dr congo..heeee
Wewe una udugu na Mzee Mpiri?...
 
Back
Top Bottom