Aibu ya Mwaka: Sauti Zimevuja, Feitoto akifundishwa namna ya kuongea uongo Clouds

Mnaweza kulaumu Bure usikute ni Mambo ya AI(Artificial intelligence), maan japokuw AI ya Kucopy sauti ya mtu bado Haijaboreshwa kutumia Lugha ya Kiswahili,

Ila Kwenye Hii dunia ya Sayansi na teknolojia Chochte kinawezekana watu kila siku Wanapiga Codes ili kunufaika na Teknolojia,

Na kwa mazingira ya Kesi kama hizi sitoshangaa Kwamb Habari za haya mahojiano znawez kujulikana sku kadhaa kabla ya Siku yenyew hivyo mtu anawez kucheza na Codes tu mapema na akaziachia mkaamini.
 
Kunaitwa kupatwa kwa feisal!
kama ana akili atulie ajitafakari vizuri
 
Sasa kama unayajua yote hayo kuwa Hersi hana haja ya kutuprove yale aliyoongea Feisal ,why unachachawa sasa tukijaribu na sisi kuyachakata aliyoyasema Feisal? Tulieni sasa mambo yote CAS
 
Inawezekana kuna aibu wanataka kuificha, ila mbona rahisi sana. Mpige fain fei, mruhusu aondoke. Discussion inakwisha. Hapa sasa hivi unaleta sauti mara mwenzako anakuja na video na tuhuma za ajabu mnazidi kuzalilishana.
Lipo kubwa nyuma ya pazia sidhani fei ana utoto WA kukataa kurudi Yanga Tena Kwa intavyuu ya Leo nasema Lipo kubwa tuuu
Ht iweje fei asingetaa vile abadani asilani
 
Japo namlaumu nakumsikitikia Feisal kwa kukimbia shule ila ntamchangia ili aende CAS japo naona ni ngumu kutoboa. Ni baada ya kutudhihirishia kwamba yeye hana shida na Wananchi bali ana mambo binafsi na Rais wa klabu. Yanga ni kubwa kuliko Hersi na Feitoto
 
Sasa kama unayajua yote hayo kuwa Hersi hana haja ya kutuprove yale aliyoongea Feisal ,why unachachawa sasa tukijaribu na sisi kuyachakata aliyoyasema Feisal? Tulieni sasa mambo yote CAS
Hayo mambo CAS yameenda lini? Manake Yanga wanasubiri.

Hersi hawajibiki kujibu kwenye public, yy kishajibu hoja zake TFF kupitia mwanasheria wa club na kishashinda mara tatu.

Haya kesho kawajibu then ndio itakuwaje? au unahisi itabadili vipengele vya mkataba na maamuzi ya TFF?
 
Aibu gani inafichwa?!?! Mahojiano yaliyofanyika yameonesha. Upeo mdogo was Fei na ni aibu kubwa Kwa Clouds kuwa sponsored kufanya mahojiano hayo kipindi hiki katika jitihada za kuihujumu Yanga na mechi ya marudiano na Algers..
[emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wakato Leo masaa yote anajadiliwa fei afu unasema aibu Kwa clouds... really?!!
 
Ni wivu tu. Hiyo audio ni ya kutengeneza
 
Mtoa mada masudi ana wake watatu itabidi unngezeke naww uwe wa nne
 
AISE HII ISSUE IPELEKWE BUNGENI KUJADILIWA,ISSUE NI NZITO SANA
KWA TAIFA
[emoji1] wabongo si mnapenda mambo hayo

Ova
Hilo bunge lenyewe lina uzito gani?suala la feisal ni mhimu kuliko hoja zote za bunge japo nalo ni la kijinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…