Aibu ya Mwaka: Sauti Zimevuja, Feitoto akifundishwa namna ya kuongea uongo Clouds

Hicho kifungu amekijuaje wakati amesema hajauelewa mkataba kwa sababu ni wa kiingereza..??
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe shida ni huyo dada kutoa machozii?? Mie nkajua kuna cha ajabu uwiiiiih
 
Wamepagawa hawa,Feisal kawashika pazuri sana mpaka Takadini ameamua kujifunga kibwaya kucheza ngoma iso yake [emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo Takadini naye wa kupuuzwa tyuuh, akianza kupopolewaa anakimbilia ana nyanyaswaa kisa ulemavu wa ngozii, mxxxiiiieeeew zake. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe shida ni huyo dada kutoa machozii?? Mie nkajua kuna cha ajabu uwiiiiih
Kwa jicho lako uhoni kitu, ila mwanasheria aongozwi na hisia ni hoja, kapata platforms ya public baada ya kuongea analia.
 
Kilichoongelewa ni ukweli. Na Masoud ndio alikuwa anakijua kwa ufasaha, ikabidi ampe Fei ABC
Km ni ukweli alicho zungumza Fei, hata km mie nimepa ABC haina kwereee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hicho kifungu amekijuaje wakati amesema hajauelewa mkataba kwa sababu ni wa kiingereza..??
Mkataba haku uelewa mwanzo wakati wa kusaini, ila baada ya kuona anapaswa kuondoka ikabidi atafute wanao elewa lugha iliyotumika ktk mkatabaa ndo waka mtafsiriaa hivyoo.
 
Kwa jicho lako uhoni kitu, ila mwanasheria aongozwi na hisia ni hoja, kapata platforms ya public baada ya kuongea analia.
Sasa tatizo liko wapiii? Kwani kutoa chozi ni shida? Ili hali mazungumzo yaliendelea km kawida na hakuna kilichoharibika lol.
 
Nilicheka ile futuhi ya akina OSCAR OSCAR kuhusiana na kumfundisha FEI cha kusema.Eti wanamshauri aseme alitembea kwa mguu kutoka Zanzibar hadi Dar.
 
Swali linabaki pale pale kwa nini Engineer anambashia huyu dogo halafu akiamua kulinda marinda yake ndiye aonekane mkorofi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…