Daniel Mwinula
JF-Expert Member
- Jul 15, 2012
- 302
- 328
Amesema alisha kutana na hao viongozi wa Yanga kuhusu yeye kuondoka wakakataa, baadae yeye alitumia kifungu cha mkataba kuvunja km kinavyo dai, bado wao yanga hawataki.
Na anasema alikutana na Hersi ili wazungumzie hatma yake, yeye alijibiwa kuwa arudi kambini kwa team kuendelea na majukumu yake ya uchezaji, na fei hataki hilo. Sasa afanyeje?
Hebu muwe mnafuatilia jambo bila muhemko. Lol
Hicho kifungu amekijuaje wakati amesema hajauelewa mkataba kwa sababu ni wa kiingereza..??