Aibu ya Mwaka: Sauti Zimevuja, Feitoto akifundishwa namna ya kuongea uongo Clouds

Aibu ya Mwaka: Sauti Zimevuja, Feitoto akifundishwa namna ya kuongea uongo Clouds

Clouds fm ni kituo cha redio kilichojijengea umaarufu kwa muda mrefu tangu enzi za marehemu Ruge. Lakini kwasiku za hivi karibuni heshima ya clouds imeshuka Sana.

Mfano mzuri ni hiyo clip iliyovuja Masoud kipanya akimkaririsha Feisal MANENO ya kuongea alaf yeye mwenyewe ndo akaenda kumfanyia mahojiano!

Hii inatia kichefuchefu na inaichafua brand kubwa Kama clouds fm. Nashauri mmiliki wa kituo hicho amfute kazi mara moja kabla mambo hayajawa mabaya zaidi.
Izoo voice note Ziko apii[emoji15][emoji15][emoji15]
 
Clouds fm ni kituo cha redio kilichojijengea umaarufu kwa muda mrefu tangu enzi za marehemu Ruge. Lakini kwasiku za hivi karibuni heshima ya clouds imeshuka Sana.

Mfano mzuri ni hiyo clip iliyovuja Masoud kipanya akimkaririsha Feisal MANENO ya kuongea alaf yeye mwenyewe ndo akaenda kumfanyia mahojiano!

Hii inatia kichefuchefu na inaichafua brand kubwa Kama clouds fm. Nashauri mmiliki wa kituo hicho amfute kazi mara moja kabla mambo hayajawa mabaya zaidi.

Hujui Ile ni live interview?

Ulitaka amwache Tu aropoke anavyotaka yeye?
 
Faisal ana elimu gani? Ninavyomuona na mambo yake kama asiyejielewa hivi!
Wewe umuoni Bibi yake wa Chamwino.Wale ni wapiga Domo na kudekadeka tu,mipasho kwao ni Utamaduni.
 
Inaonekana wazi walijipanga kumchafua heris,maana mwanzoni tatizo lilikuwa mkataba,ikabadilika ikawa maslahi,ikahama tena mara manyanyaso,sasa wamehamia kwa heris,akija kushtuka anabaki stor
Kuna wenye akili fupi wanamtuma fei wakidhani wataaribu uongozi wa Yanga, ukweli ni kwamba eng hersi ni tishio hasa kwa kariba ya uongozi kwa hiyo sasa hivi wanamtageti kwa bogus allegation tukatae tukubali watu wanaupeo mdogo sana
 
Kati ya watu wanaafki ktk USO WA ardhi manara anachukua no 1 ,2 na 3...namuombea tu mwisho mwema na Mungu ambadilishe nafsi yake iwe yenye ukweli siku moja
Nadhani kichwani hayupo sawa kabisa na mshipa wa aibu hana
 
Hayo mambo CAS yameenda lini? Manake Yanga wanasubiri.

Hersi hawajibiki kujibu kwenye public, yy kishajibu hoja zake TFF kupitia mwanasheria wa club na kishashinda mara tatu.

Haya kesho kawajibu then ndio itakuwaje? au unahisi itabadili vipengele vya mkataba na maamuzi ya TFF?
Tulia sasa Joseph
 
Haihitaji kufika form 6 kujua Kuna mazito yapo yanaendelea yaani twendeni tu
Mbona panapovuja pameshaanza kujionyesha,ogopa sana yule msomali na jeuri ya pesa za tajiri yake utadhani zake kumbe na yeye ni kijakazi tu wa GSM
 
Back
Top Bottom