Aibu ya pombe

Aibu ya pombe

Heri ya krismasi na mwaka mpya,nilikua mnywaji mkubwa wa pombe ila baada ya kushauriwa na kuona inaniletea matatizo nikaamua niiache.

Juzi siku ya boxing day nikatoka na washkaji hadi mtaa wa mbali kidogo ila nafahamika nikasema nikumbushie kidogo pombe.

Matokeo yake nilikunywa kupitiliza nikagombana na kila mtu hata wale wakubwa nnaowaheshimu mbaya zaidi hata kurudi nyumbani nilishindwa nikalala kwenye pagala.Naona aibu kutoka hata nje kwa nilichokifanya.MSAADA Nijinsi gani naweza rejesha heshima yangu na kuiacha pombe kabisa?
Nilishawahi kunywa pombe ikataka iniachie aibu... All in all pombe kwasasa nimeweza kui control vilivyo
 
EPUKANA NA KAMPANI YA MARAFIKI WALEVI,BORA UNUNUE PLAYSTATION UKIRUDI UWE UNACHEZA NYUMBANI NA MKEO AU NDUGU ZAKO
Playstation tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], huo ndiyo ulevi mbaya kuliko hata wa pombe, halafu ulevi wa playstation unakuletea umasikini kama usipokua mwangalifu
 
Heri ya krismasi na mwaka mpya,nilikua mnywaji mkubwa wa pombe ila baada ya kushauriwa na kuona inaniletea matatizo nikaamua niiache.

Juzi siku ya boxing day nikatoka na washkaji hadi mtaa wa mbali kidogo ila nafahamika nikasema nikumbushie kidogo pombe.

Matokeo yake nilikunywa kupitiliza nikagombana na kila mtu hata wale wakubwa nnaowaheshimu mbaya zaidi hata kurudi nyumbani nilishindwa nikalala kwenye pagala.Naona aibu kutoka hata nje kwa nilichokifanya.MSAADA Nijinsi gani naweza rejesha heshima yangu na kuiacha pombe kabisa?
Kanywe Mara ya mwisho halafu ukawaombe msamaha.
 
hebu jitest kidole huko nyuma pako salama !! 🤣
 
Asante juzi ndo nilikunywa,baada ya kukaa miaka 2,shida ni namna ya kuacha jumla

Duh umenitisha mzee umeweza kukaa miaka miwili ukarudi tena kambini,mimi nina siku sita sijanywa najiona kama niweza kabisa lakin kwa kauri yako inanifanya na mim nisijiami make sio mara ya kwanza nasema hivi.

Kiukwel naomba mungu anitete pombe ndio naweza kunywa nyingi sana tu lakn tatizo sijui kusema imetosha kwa leo nirudi nyumbani mara nyingi narudi pesa ikiniishia,inanipelekea najikuta nimefika nyumbani sijui nimefikaje.

Kesho ukinambia tulikua wote nitakwambia sikumbuki,hapo natembea kabisa siyumbi lakn tatizo inanifanya nasahau sana na vimbwenga kibao.

Kiukwel mimi namuomba mungu pombe iwe basi tena mpaka angalau miaka mitano.

I love it,but isn't good for me.
 
Heri ya krismasi na mwaka mpya,nilikua mnywaji mkubwa wa pombe ila baada ya kushauriwa na kuona inaniletea matatizo nikaamua niiache.

Juzi siku ya boxing day nikatoka na washkaji hadi mtaa wa mbali kidogo ila nafahamika nikasema nikumbushie kidogo pombe.

Matokeo yake nilikunywa kupitiliza nikagombana na kila mtu hata wale wakubwa nnaowaheshimu mbaya zaidi hata kurudi nyumbani nilishindwa nikalala kwenye pagala.Naona aibu kutoka hata nje kwa nilichokifanya.MSAADA Nijinsi gani naweza rejesha heshima yangu na kuiacha pombe kabisa?
Mimi nilipanda daladala mkojo ukanibana njiani nimeshuka mara tatu kukojoa. Nimelazimika kulipa nauli tatu sehemu ya nauli moja. Nawaachia wanywaji waendelee tu
 
Afadhali na mkasa wako kidogo,mie wangu umekua mkubwa mno
 
Heri ya krismasi na mwaka mpya,nilikua mnywaji mkubwa wa pombe ila baada ya kushauriwa na kuona inaniletea matatizo nikaamua niiache.

Juzi siku ya boxing day nikatoka na washkaji hadi mtaa wa mbali kidogo ila nafahamika nikasema nikumbushie kidogo pombe.

Matokeo yake nilikunywa kupitiliza nikagombana na kila mtu hata wale wakubwa nnaowaheshimu mbaya zaidi hata kurudi nyumbani nilishindwa nikalala kwenye pagala.Naona aibu kutoka hata nje kwa nilichokifanya.MSAADA Nijinsi gani naweza rejesha heshima yangu na kuiacha pombe kabisa?
Ni rahisi kuvunja heshima kuliko kuijenga hivyo kuwa mpole kubali yaliyotokea na ukubali kwamba ulikosea alafu anza upya, Acha pombe na marafiki wa hivyo achana nao, marafiki wenyewe wakati wa shida hawaji [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Asante sana
 
Huu ndio ushauri chachaaaa!!!
 
Kuna jamaa alikuwa mlevi yaani pampula nashangaa kaacha ghafla tukimuuliza sababu anasema siku nikigombana na wife asitoe tu siri ya kuacha.
 
Heri ya krismasi na mwaka mpya,nilikua mnywaji mkubwa wa pombe ila baada ya kushauriwa na kuona inaniletea matatizo nikaamua niiache.

Juzi siku ya boxing day nikatoka na washkaji hadi mtaa wa mbali kidogo ila nafahamika nikasema nikumbushie kidogo pombe.

Matokeo yake nilikunywa kupitiliza nikagombana na kila mtu hata wale wakubwa nnaowaheshimu mbaya zaidi hata kurudi nyumbani nilishindwa nikalala kwenye pagala.Naona aibu kutoka hata nje kwa nilichokifanya.MSAADA Nijinsi gani naweza rejesha heshima yangu na kuiacha pombe kabisa?
We endelea kulala hapo hapo kwenye pagala, utusubiri tukutafutie suluhisho ama ushauri wa kukupa. Usichungulie nje wala kutoka hapo ulipo....endelea tu kulala. Nikuletee gongo nyingine?
 
Back
Top Bottom