Aibu ya pombe

Aibu ya pombe

1.nakunywa safari,k vant na konyagi
2.nikishalewa tu na naleta matatizo haijalishi pombe ipi nimekunywa
3.nachanganya pombe (sometimes)
4.safari 8+
5.nimeoa na nna watoto
6.nazingua nikiwa na mtu yeyote
Safari 8 wewe ni Pampula. Acha mara moja.
 
Ulevi wa mipombe ni pepo..usipolidhibiti waweza mgongea mlango hata mama mkwe aliyekuja kwako kwa matibabu huku ukiwa utupu ukitaka akupe maajabu!!

Ni wachache sana wanakunywa pombe kwa staha!!

Ulevi ni pepo chafu tena la umaskini.. ..yaani ukipata hela tu linakupanda kichwani...kunywa hadi ziishe na kukupa juu yake... na mara nyingi pepo hili huwa limo dani ya familia. ..unakuta babu mlevi, baba mlevi, watoto walevi wajukuu ndiyo usiseme..!!

Ulevi unaendana na uchafu na umaskini.
 
Nimekuelewa
 
Kama umeweza kuiepuka kwa miaka miwili basi hilushindwi kuacha kabisa,epuka kilichopelekea ukanywa tena either ni hiyo kampani uliyokua nayo o simamia maamuzi yako hata kama yatapigwa na wengine

Kingsmann
 
Si lazimankuacha kabisa...Pombe unaweza kutumia kama kiburudisho...kunywa kwa staha inapendeza zaidi na ni nzuri kwa afya ya mwili na akili.

Sasa ile mipombe ya urithi ; mipombe ya pepo ukipata mshahara tu hadi saa 8 usiku upo hoi, simu huna wamelamba wallet huna..umejikojolea...hii ndiyo mipombe ya pepo mchafu, mvivu na pepo la kimaskini, na walevi wa hivi kusomesha watoto shida, ugomvi kwenye ndoa zao na familia kwa ujumla...

Mimi nakunywa ila when comes to my limit off I go...hata iweje!!
 
Sawa,nimekuelewa
 
Back
Top Bottom