SN.BARRY
JF-Expert Member
- Oct 12, 2012
- 4,038
- 8,929
Ha ha ha usije ukawa ulimtukana bosi wako au baba mkwe wako.Shida yangu mimi siyo kama ya huyo,mimi naongea mno nikinywa na hata kutukana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha usije ukawa ulimtukana bosi wako au baba mkwe wako.Shida yangu mimi siyo kama ya huyo,mimi naongea mno nikinywa na hata kutukana
Au mtu apishane na wewe asikie harufu ya pombeAchana nayo kabisa,nadhani mtungi unategemea sana kichwa na kichwa.
Mimi nakunywa saaana tu lkn wanaonijua hua hawaamini kama nakunywa mpk nikutane nao huko ulevini.
Wewe ni mtu unayejielewa hadi kufikia hatua hii ya kuomba ushauri tayari ni ushindi tosha.Asante mkuu,yaani nna stress za kufa mtu,mabosi wangu sijui nitawaeleza nini.Nipo ndani sitoki tangu juzi
Safari 8 wewe ni Pampula. Acha mara moja.1.nakunywa safari,k vant na konyagi
2.nikishalewa tu na naleta matatizo haijalishi pombe ipi nimekunywa
3.nachanganya pombe (sometimes)
4.safari 8+
5.nimeoa na nna watoto
6.nazingua nikiwa na mtu yeyote
Ushauri mzuri.Mind set tu, usitumie nguvu nyingi, fanyia kazi kwenye akili yako amini unaweza kuacha au kupunguza basi
NimekuelewaUlevi wa mipombe ni pepo..usipolidhibiti waweza mgongea mlango hata mama mkwe aliyekuja kwako kwa matibabu huku ukiwa utupu ukitaka akupe maajabu!!
Ni wachache sana wanakunywa pombe kwa staha!!
Ulevi ni pepo chafu tena la umaskini.. ..yaani ukipata hela tu linakupanda kichwani...kunywa hadi ziishe na kukupa juu yake... na mara nyingi pepo hili huwa limo dani ya familia. ..unakuta babu mlevi, baba mlevi, watoto walevi wajukuu ndiyo usiseme..!!
Ulevi unaendana na uchafu na umaskini.
Sawa,nimekuelewaSi lazimankuacha kabisa...Pombe unaweza kutumia kama kiburudisho...kunywa kwa staha inapendeza zaidi na ni nzuri kwa afya ya mwili na akili.
Sasa ile mipombe ya urithi ; mipombe ya pepo ukipata mshahara tu hadi saa 8 usiku upo hoi, simu huna wamelamba wallet huna..umejikojolea...hii ndiyo mipombe ya pepo mchafu, mvivu na pepo la kimaskini, na walevi wa hivi kusomesha watoto shida, ugomvi kwenye ndoa zao na familia kwa ujumla...
Mimi nakunywa ila when comes to my limit off I go...hata iweje!!
Dah...yaani nimejaribu kulinganisha kutumia kila fani...kisayansi...kihisabati...kisiasa ..kihistoria nk nk...bado sijapata wapi hasa pombe inahusiana kilimo, uvuvi na ufugaji..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2960]chief acha pombe jikite hata kwenye maswala ya kilimo,uvuvi na ufugaji.