Aibu ya pombe

Aibu ya pombe

Mungu atasaidie,imeniuma mno kitendo cha kurudi nyuma maana nilishaiacha kabisa.Nna stress kinoma kila nnayemuona nahisi ananiwazia mimi
Kuna Mwamba Kaiangamiza Familia Yake Juzi Nadhani Ulisikia,Yeye Mke na Watoto Wawili na Moto Wa Gesi,Yote Hayo Yamesababishwa na Pombe Kwa Mujibu Ya Nilivyosikia.

Kuna Faida Gani Sasa Ya Hiyo Pombe?
Unaondoka Hata Kutubu Kwa Mola Hupati Mda.

Acha Nirudi Kwa Mungu,Pombe Mimi Basi.
 
Tuwaachie wanaomudu,hata mimi hii kitu sasa basi
 
Nikipiga Hesabu Gharama Ninazozitumia Kwa Ajili ya Pombe Tu,Tena Sehemu Nyingine Hadi Sasa Nna Madeni Kisa Pombe,Naona Kama Ni Laana Kwangu + Inavyodhalilisha,Why Not Nisichukue Maamuzi Tu? Pombe Ni Chanzo Cha Dhambi,Nasema Hilo Maana Nna Ushuhuda Nalo Hata Wewe Wajua.

Namuomba Mungu Nisiikose Mbingu Kwa Hili na Mengine,Nimeamua Kujisalimisha Maisha Yangu Kwa Yesu,Naamini Atanipigania.
Kila la heri mkuu!
 
But life...must go on..

Kuna msala nausolve hapa balaaa... Pombe noma.
 
Hakika mimi imeshanishinda,na hii aibu natamani hata kusitisha uhai wangu
Mkuu mbona kugombana kwenye ulevi ni swala la kawaida shida ya pombe ukishazidisha lazima akili ikuruke haina Haja ya wew kuona aibu kwakua wote mlikua mmekunywa unawaeleza tu kuwa ilikua ni pombe na walevi Siku zote awajawai kukosana eti kisa ulimtukana kwenye pombe mimi nalewaga natukana nagombana napigana Kesho poa tu nawaelewa ilikua ni pombe nawapa bia moja moja life linaendelea

Ila jaribu kupunguza kunywa kiasi ikiwezekana unaokunywa nao waambie wakiona unazibisha wakukataze.

#Tukutane pale pale kwa jana
 
Niliwatukana hata wasio kunywa yaani kila niliyekutana naye
 
Asante mkuu,yaani nna stress za kufa mtu,mabosi wangu sijui nitawaeleza nini.Nipo ndani sitoki tangu juzi
Uliliwa tigo huko kwenye pagale? Kama jibu ni no kwanini unaogopa?
 
Pale kwenye haiuzwi kwa wenye umri chini ya miaka 18 waongeze maneno haya, "haiuzwi kwa wenye vichwa panzi".

Kichwa cha Juece unakibebesha alcohol kwanini kisilemewe?
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] yani ulivyouliza ili swali nilijua hugusi kabisa
Mkuu mimi ni mdau mzuri wa tungi. Kuna muda naicontrol kuna muda inanicontrol. Ila nishajua udhaifu wangu nikipiga pombe kali ndio shida ila hizi laini bia nakua poa kabsa.
Na nilichofanya siku hizi ni kuepuka kwenda bar kubwa. Napiga kijiweni kwangu au home basi. Imesaidia kiasi.

Karibu mkuu nimeamka nayo new year...

JPEG_20210101_115016_5800577350680691189.jpg
 
Back
Top Bottom