KMMS
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 304
- 586
Kuna Mwamba Kaiangamiza Familia Yake Juzi Nadhani Ulisikia,Yeye Mke na Watoto Wawili na Moto Wa Gesi,Yote Hayo Yamesababishwa na Pombe Kwa Mujibu Ya Nilivyosikia.Mungu atasaidie,imeniuma mno kitendo cha kurudi nyuma maana nilishaiacha kabisa.Nna stress kinoma kila nnayemuona nahisi ananiwazia mimi
Kuna Faida Gani Sasa Ya Hiyo Pombe?
Unaondoka Hata Kutubu Kwa Mola Hupati Mda.
Acha Nirudi Kwa Mungu,Pombe Mimi Basi.