Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kunywa kistaarabuHeri ya krismasi na mwaka mpya,nilikua mnywaji mkubwa wa pombe ila baada ya kushauriwa na kuona inaniletea matatizo nikaamua niiache.
Juzi siku ya boxing day nikatoka na washkaji hadi mtaa wa mbali kidogo ila nafahamika nikasema nikumbushie kidogo pombe.
Matokeo yake nilikunywa kupitiliza nikagombana na kila mtu hata wale wakubwa nnaowaheshimu mbaya zaidi hata kurudi nyumbani nilishindwa nikalala kwenye pagala.Naona aibu kutoka hata nje kwa nilichokifanya.MSAADA Nijinsi gani naweza rejesha heshima yangu na kuiacha pombe kabisa?
Mimi hapanaMkuu mimi ni mdau mzuri wa tungi. Kuna muda naicontrol kuna muda inanicontrol. Ila nishajua udhaifu wangu nikipiga pombe kali ndio shida ila hizi laini bia nakua poa kabsa.
Na nilichofanya siku hizi ni kuepuka kwenda bar kubwa. Napiga kijiweni kwangu au home basi. Imesaidia kiasi.
Karibu mkuu nimeamka nayo new year...
View attachment 1664602
Pia mdudu maana ukishamtafuna tu hamu ya Kvant inakuja dah!Ukishindwa kupunguza ukaribu na marafiki zako walevi ni ngumu kuacha pombe.
Hakuna kuacha, jifunze kunywa kistaarabu tu, basi. Km ni bia kunywa lkn si zadi ya 4,km ni nyagi au k vant piga kasichana alafu sepa kabisa, kwenye pombe hua hatuagi,ukitosheka unatoroka unawahi home, mengine yatajulikana kesho. Sasa ww unakunywa weeeeeeee hadi unasahau jina lako unaanza kuongea kingereza cha ugokoni na matusi juu hadi unagombana na mabosi wako iko siku utakunya kitandani ndiyo utajua pombe si chai.Asante juzi ndo nilikunywa,baada ya kukaa miaka 2,shida ni namna ya kuacha jumla
Shukrani Sana mkuu [emoji16]Mkuu mimi ni mdau mzuri wa tungi. Kuna muda naicontrol kuna muda inanicontrol. Ila nishajua udhaifu wangu nikipiga pombe kali ndio shida ila hizi laini bia nakua poa kabsa.
Na nilichofanya siku hizi ni kuepuka kwenda bar kubwa. Napiga kijiweni kwangu au home basi. Imesaidia kiasi.
Karibu mkuu nimeamka nayo new year...
View attachment 1664602
Vipi hadi leo hujagonga tungiTatizo Lililokukuta Limenikuta Pia Mimi Jumatutu,Nilikunywa Kwa Starehe Mapema Tu Nkarejea Home,Ila Home Wife Hayupo So Nkaona Nipo Bored,Nkatoka Nkakutana na Washkaji,Nikabwia-nikabwia Nikaamua Kurudi Home Mapema Tu,Kimbembe Kikaanzia Hapa,Ili Nifike Magetoni Kuna Ngazi Za Kupanda,Ndugu Yako Ngazi Nkawa Nazipanda Nakushuka,Yani Nkikaribia Ya Mwisho Nateleza Naanza Upya,Na Ni Hatua 5 Tu Nabakiza Kufikia Mlango Wangu,Basi Nkapanda Shuka Nkaona Isiwe Tabu,Nkauchapa Happy Happy,Sasa Kumbe Yupo Mtu Alikuwa Ananisoma na Ni Wa Hapa Hapa Nyumbani ya Pili Toka Kwangu,Akampigia Simu Mzee Mwenye Nyumba,Me Nimepanga Gorofani Ye Anaishi Kwa Chini Ndo Mzee Kuja Kunipa Msaada.
Nakuja Kushtuka Ni Asubuhi,Nimechafuka Sina Hali.
Nini Nimeamua Kufanya,Nimeamua Kumkabidhi Yesu Maisha Yangu Na Nizaliwe Upya.
Kudhalilika Huku Imetosha.
Hivyo Nikushauri Nawewe Mwenzangu,Pia Tuwe Na Mawasiliano Kuulizana Tulipofikia.
Nyoa kiparaHeri ya krismasi na mwaka mpya,nilikua mnywaji mkubwa wa pombe ila baada ya kushauriwa na kuona inaniletea matatizo nikaamua niiache.
Juzi siku ya boxing day nikatoka na washkaji hadi mtaa wa mbali kidogo ila nafahamika nikasema nikumbushie kidogo pombe.
Matokeo yake nilikunywa kupitiliza nikagombana na kila mtu hata wale wakubwa nnaowaheshimu mbaya zaidi hata kurudi nyumbani nilishindwa nikalala kwenye pagala.Naona aibu kutoka hata nje kwa nilichokifanya.MSAADA Nijinsi gani naweza rejesha heshima yangu na kuiacha pombe kabisa?