Kuna Mwamba Kaiangamiza Familia Yake Juzi Nadhani Ulisikia,Yeye Mke na Watoto Wawili na Moto Wa Gesi,Yote Hayo Yamesababishwa na Pombe Kwa Mujibu Ya Nilivyosikia.Mungu atasaidie,imeniuma mno kitendo cha kurudi nyuma maana nilishaiacha kabisa.Nna stress kinoma kila nnayemuona nahisi ananiwazia mimi
Tuwaachie wanaomudu,hata mimi hii kitu sasa basiKuna Mwamba Kaiangamiza Familia Yake Juzi Nadhani Ulisikia,Yeye Mke na Watoto Wawili na Moto Wa Gesi,Yote Hayo Yamesababishwa na Pombe Kwa Mujibu Ya Nilivyosikia.
Kuna Faida Gani Sasa Ya Hiyo Pombe?
Unaondoka Hata Kutubu Kwa Mola Hupati Mda.
Acha Nirudi Kwa Mungu,Pombe Mimi Basi.
Kila la heri mkuu!Nikipiga Hesabu Gharama Ninazozitumia Kwa Ajili ya Pombe Tu,Tena Sehemu Nyingine Hadi Sasa Nna Madeni Kisa Pombe,Naona Kama Ni Laana Kwangu + Inavyodhalilisha,Why Not Nisichukue Maamuzi Tu? Pombe Ni Chanzo Cha Dhambi,Nasema Hilo Maana Nna Ushuhuda Nalo Hata Wewe Wajua.
Namuomba Mungu Nisiikose Mbingu Kwa Hili na Mengine,Nimeamua Kujisalimisha Maisha Yangu Kwa Yesu,Naamini Atanipigania.
Mkuu mbona kugombana kwenye ulevi ni swala la kawaida shida ya pombe ukishazidisha lazima akili ikuruke haina Haja ya wew kuona aibu kwakua wote mlikua mmekunywa unawaeleza tu kuwa ilikua ni pombe na walevi Siku zote awajawai kukosana eti kisa ulimtukana kwenye pombe mimi nalewaga natukana nagombana napigana Kesho poa tu nawaelewa ilikua ni pombe nawapa bia moja moja life linaendeleaHakika mimi imeshanishinda,na hii aibu natamani hata kusitisha uhai wangu
Mkuu umetisha.....ivi mleta mada amesema hana kazi? Mmh hapo kwenye uvuvi sasa hivi kuna mvuvi humu kweli!!?[emoji847][emoji847]chief acha pombe jikite hata kwenye maswala ya kilimo,uvuvi,ufundi na ufugaji.
Niliwatukana hata wasio kunywa yaani kila niliyekutana nayeMkuu mbona kugombana kwenye ulevi ni swala la kawaida shida ya pombe ukishazidisha lazima akili ikuruke haina Haja ya wew kuona aibu kwakua wote mlikua mmekunywa unawaeleza tu kuwa ilikua ni pombe na walevi Siku zote awajawai kukosana eti kisa ulimtukana kwenye pombe mimi nalewaga natukana nagombana napigana Kesho poa tu nawaelewa ilikua ni pombe nawapa bia moja moja life linaendelea
Ila jaribu kupunguza kunywa kiasi ikiwezekana unaokunywa nao waambie wakiona unazibisha wakukataze.
#Tukutane pale pale kwa jana
Uliliwa tigo huko kwenye pagale? Kama jibu ni no kwanini unaogopa?Asante mkuu,yaani nna stress za kufa mtu,mabosi wangu sijui nitawaeleza nini.Nipo ndani sitoki tangu juzi
Noma Mzee.. Tumefanikiwa chomoka mahabusu... Ila tuligonga mtu....vibayaa sanaTupe kidogo
Mkuu mimi ni mdau mzuri wa tungi. Kuna muda naicontrol kuna muda inanicontrol. Ila nishajua udhaifu wangu nikipiga pombe kali ndio shida ila hizi laini bia nakua poa kabsa.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] yani ulivyouliza ili swali nilijua hugusi kabisa