Aibu ya Tanzania. Mkuu wa nchi anazindua minara ya bil 270+ huku wananchi vijijini hawana maji wala huduma za afya za uhakika

Acha kupinga pinga kila kitu ,Kwa hiyo hufahamu faida ya mawasiliano katika maendeleo ya wananchi? Serikali ya mh Rais inafanya yote na kugusa secta zote ,ndio maana unaona huduma za maji,umeme, Miundombinu n.k . ikiendelea kupelekwa na kusogezwa karibu ya mwananchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…