Aibu ya waandishi wa habari wa Tanzania wakikanyagana kufuata noti zilizokua zinarushwa na msanii

Aibu ya waandishi wa habari wa Tanzania wakikanyagana kufuata noti zilizokua zinarushwa na msanii

Njaa na umaskini ni kitu kibaya sana maana husababisha mtu anasahau aibu na kufanya vitu vya ajabu, waandishi wa habari Tanzania wamejikuta wanakanyagana na kupigana makumbo kisa wananyan'ganyana vihela vilivyokua vinarushwa kwa dharau na msanii wa Bongo anayeitwa Irene Uwoya.
Sasa waandishi kama hawa ndio wanategemewa kuanika mafisadi kwenye nchi.....

Njaa mbaya
 
Pesa ni pesa. Ziwe kwa bahasha au kutupiwa it doesn't matter

Hehehe!!! hata changudoa hulipwa kwa heshima kidogo, sio kutupiwa.
Hao wataalam wenu wa habari......
Hehehe ila kiaina ni kweli pesa ni pesa, tatizo hela zenu madafu, yaani hata zikitupwa elfu kumi kumi hazina thamani.
 
Baada ya post hiyo, mtoa mada hakurudi tena.

CC: Ummayed
Halafu bro ukizingatia mwanajeshi ni mtu mwenye wadhifa na kipato kikubwa kumzidi mwandishi wa habari.
Maana ana marupurupu ukitoa na mshahara,kuna favor nyingi anafanyiwa km usafiri na punguzo la kodi ht bandarini anapoingiza mzigo uwe wa mwanajeshi mmoja au wa kambi nzima huingia kwa jina la Jeshi.
Ni aibu mwanajeshi wa KDF nchi yenye uchumi mkubwa kuliko taifa lolote East and Central Africa.Mkuu wanaiba mikate ya buku mbili mbili mikate ambayo huuzwa chin ya dollar moja.
Ni aibu Sana.
 
Hehehe!!! hata changudoa hulipwa kwa heshima kidogo, sio kutupiwa.
Hao wataalam wenu wa habari......
Hehehe ila kiaina ni kweli pesa ni pesa, tatizo hela zenu madafu, yaani hata zikitupwa elfu kumi kumi hazina thamani.
Vipi wale wajeda waiba mikate na blue bands pale westgate??
Mkatee yan mkateee duuuh are you kenyans serious??
TPDF haiwez fanya ujinga ule.
 
Hehehe!!! hata changudoa hulipwa kwa heshima kidogo, sio kutupiwa.
Hao wataalam wenu wa habari......
Hehehe ila kiaina ni kweli pesa ni pesa, tatizo hela zenu madafu, yaani hata zikitupwa elfu kumi kumi hazina thamani.
Hahaha! 😀 Elfu kumi hela za madafu ni sawa na 450 KES! Alafu eti hawa ndio wanajiita wanahabari.
 
Hahaha! 😀 Elfu kumi hela za madafu ni sawa na 450 KES! Alafu eti hawa ndio wanajiita wanahabari.

Ndio wataalam wa habari Tanzania yote, ndio wanategemewa kuanika uozo wa trillions zilizotajwa na CAG. Ndio maana wanapigwa sana hawa, kila wanaachogusa kinaishia kuwa hasara, wana habaari wao wamebinywa na kuwa maskini wa njaa hawawezi na hawana uthubutu wa kuhoji chochote, kazi yao wameishia mapambio ya kusifia na pia kupigana vikumbo wakitupiwa hela madafu. Hebu soma analysis ya Zito Kabwe jinsi wameingia hasara kubwa sana ya makinikia https://www.jamiiforums.com/threads/tanzania-imepoteza-370m-miaka-ya-makanikia.1610619/
 
99% hapo ni wamiliki wa online tv yaani youtubers kama mlikua hamjui
 
Njaa na umaskini ni kitu kibaya sana maana husababisha mtu anasahau aibu na kufanya vitu vya ajabu, waandishi wa habari Tanzania wamejikuta wanakanyagana na kupigana makumbo kisa wananyan'ganyana vihela vilivyokua vinarushwa kwa dharau na msanii wa Bongo anayeitwa Irene Uwoya.
Sasa waandishi kama hawa ndio wanategemewa kuanika mafisadi kwenye nchi.....

Kuna raisi majuzi kaja kupiga magoti ili raia wake wapate kula ugali na sukuma wiki zilizowekwa mafuta mengi ya Kimbo
 
Kuna raisi majuzi kaja kupiga magoti ili raia wake wapate kula ugali na sukuma wiki zilizowekwa mafuta mengi ya Kimbo
You danganyikans are still consuming those saturated fats. ichoboy01 is an obese now. Anakula chipsi zilizopikwa na mafuta mengi ya kimbo on a daily basis.
Mlijengewa hospitali kubwa ya kutibu maradhi ya moyo
 
Shukran kwa kutambua hilo bro. Uskose kuwatangazia na wenzako pia.
Sawa.
Ila mbona la KDF umelitoa??
Na mbona Jeshi lenu matajiri kuiba mikate ya chini ya dollar moja hukuya bold yale maneno??
Mnapendaga sana kujisafisha nyie watu.
 
Hahaha! 😀 Elfu kumi hela za madafu ni sawa na 450 KES! Alafu eti hawa ndio wanajiita wanahabari.

Aha haaa
Kdf vs mikate.
Duuu mkate mmoja huuzwa 50 - 100 kes.
Yaani kdf yenyee inalinda nchi ndiyo inashindwa kununua mkate!!? Shame on you kdf together with your commander in chief.
 
Aha haaa
Kdf vs mikate.
Duuu mkate mmoja huuzwa 50 - 100 kes.
Yaani kdf yenyee inalinda nchi ndiyo inashindwa kununua mkate!!? Shame on you kdf together with your commander in chief.
Boss, afadhali hata hao walioiba. Kurushiwa hela za madafu kama mbwa ni zaidi ya dharau. Afadhali zingekuwa ni KES. Yaani wanahabari wanataka kuuana kwasababu ya makaratasi ambayo yamefanyiwa tie and dye? 😀
 
afadhali hao mabloggers waliorushiwa hizo 10K kuliko walinzi wataifa walio sahau kulinda taifa lao na kuiba mikate
 
Back
Top Bottom