danja de genzo
JF-Expert Member
- Aug 14, 2015
- 542
- 803
Mijitu hii aijielewi yani inamsema jirani uchafu wakati kwake Kuna mavi ya toka juzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mijitu hii aijielewi yani inamsema jirani uchafu wakati kwake Kuna mavi ya toka juzi
Njaa na umaskini ni kitu kibaya sana maana husababisha mtu anasahau aibu na kufanya vitu vya ajabu, waandishi wa habari Tanzania wamejikuta wanakanyagana na kupigana makumbo kisa wananyan'ganyana vihela vilivyokua vinarushwa kwa dharau na msanii wa Bongo anayeitwa Irene Uwoya.
Sasa waandishi kama hawa ndio wanategemewa kuanika mafisadi kwenye nchi.....
Hehehe bora hata zingewekwa kwa bahasha...aibu ya kutupiwa kama mbwa.
Hehehe bora hata zingewekwa kwa bahasha...aibu ya kutupiwa kama mbwa.
Pesa ni pesa. Ziwe kwa bahasha au kutupiwa it doesn't matter
Halafu bro ukizingatia mwanajeshi ni mtu mwenye wadhifa na kipato kikubwa kumzidi mwandishi wa habari.
Vipi wale wajeda waiba mikate na blue bands pale westgate??Hehehe!!! hata changudoa hulipwa kwa heshima kidogo, sio kutupiwa.
Hao wataalam wenu wa habari......
Hehehe ila kiaina ni kweli pesa ni pesa, tatizo hela zenu madafu, yaani hata zikitupwa elfu kumi kumi hazina thamani.
Hahaha! 😀 Elfu kumi hela za madafu ni sawa na 450 KES! Alafu eti hawa ndio wanajiita wanahabari.Hehehe!!! hata changudoa hulipwa kwa heshima kidogo, sio kutupiwa.
Hao wataalam wenu wa habari......
Hehehe ila kiaina ni kweli pesa ni pesa, tatizo hela zenu madafu, yaani hata zikitupwa elfu kumi kumi hazina thamani.
Hahaha! 😀 Elfu kumi hela za madafu ni sawa na 450 KES! Alafu eti hawa ndio wanajiita wanahabari.
Kuna raisi majuzi kaja kupiga magoti ili raia wake wapate kula ugali na sukuma wiki zilizowekwa mafuta mengi ya KimboNjaa na umaskini ni kitu kibaya sana maana husababisha mtu anasahau aibu na kufanya vitu vya ajabu, waandishi wa habari Tanzania wamejikuta wanakanyagana na kupigana makumbo kisa wananyan'ganyana vihela vilivyokua vinarushwa kwa dharau na msanii wa Bongo anayeitwa Irene Uwoya.
Sasa waandishi kama hawa ndio wanategemewa kuanika mafisadi kwenye nchi.....
You danganyikans are still consuming those saturated fats. ichoboy01 is an obese now. Anakula chipsi zilizopikwa na mafuta mengi ya kimbo on a daily basis.Kuna raisi majuzi kaja kupiga magoti ili raia wake wapate kula ugali na sukuma wiki zilizowekwa mafuta mengi ya Kimbo
Shukran kwa kutambua hilo bro. Uskose kuwatangazia na wenzako pia.mwanajeshi wa KDF nchi yenye uchumi mkubwa kuliko taifa lolote East and Central Africa.
Sawa.Shukran kwa kutambua hilo bro. Uskose kuwatangazia na wenzako pia.
Hahaha! 😀 Elfu kumi hela za madafu ni sawa na 450 KES! Alafu eti hawa ndio wanajiita wanahabari.
Nyie kila siku ni kuwaza kua wakimbizi kwa wenzenu kweli mna maisha magumuYALIYOJIRI. Wakenya wataenda kufundisha kiswahili S.A mpende msipende
Boss, afadhali hata hao walioiba. Kurushiwa hela za madafu kama mbwa ni zaidi ya dharau. Afadhali zingekuwa ni KES. Yaani wanahabari wanataka kuuana kwasababu ya makaratasi ambayo yamefanyiwa tie and dye? 😀Aha haaa
Kdf vs mikate.
Duuu mkate mmoja huuzwa 50 - 100 kes.
Yaani kdf yenyee inalinda nchi ndiyo inashindwa kununua mkate!!? Shame on you kdf together with your commander in chief.
Boss, afadhali hata hao walioiba. Kurushiwa hela za madafu kama mbwa ni zaidi ya dharau. Afadhali zingekuwa ni KES. Yaani wanahabari wanataka kuuana kwasababu ya makaratasi ambayo yamefanyiwa tie and dye? 😀