ATHUMANI 26
New Member
- Jul 24, 2020
- 3
- 1
wamfute aende ccmWamfutie uanachama fasta asituletee ngonjera wakati huu wa maombolezo
Ni bora kubaki peke yetu kuliko kuwa na genge la watukanaji. Mngependa huyu mbunge asusie kama kawaida yenu kawaaibisha vibaya. Huyu pamoja na wale viti maalum watakao teuliwa hakuna kupeleka 1M wala 500K kwa Mwenyekiti wa saccos..Sasa huyo mmoja ndio atabadilisha picha halisi ya hilo Bunge?
Kumbe nafsi zinawsuta kuona mmebaki peke yenu!!
Wengi kwenye hilo genge la wahuni wanawivu balaa. Wanatamani hata kumyang'anya hiyo nafasi aisee. Kumbe ruzuku za Serikali mwapenda ee ha ha ha mmekula wa chuya.Mmewasikia wenyewe wanatamka kwa midomo yao, na sauti zao.
Majuzi walituwekea bandiko la uongo linalomuhusu huyo mdada.
Sasa ndio tumesikia maneno yake, sio ubabaishaji wa kutuwekea maneno ya uongo
Yet chama makini kama Chadema wakampitisha kuwa mgombea waoHana sehemu ya kuponea zaidi ya ubunge na CCM wamemchagua huyu wakijua hata elimu yake ni haba sana mwaka jana alikuwa form four resetter kwahiyo wanajua hatawasumbua.
Huyu dada hana CV hata ya mistari sita.
Wala hafutiwi uanachama hata akifutiwa ataendelea kuwa mbunge sababu chama sio mliompigia kura amepigiwa kura na wananchi wenye vyama na wasio na vyamaWamfutie uanachama fasta asituletee ngonjera wakati huu wa maombolezo
Mbowe ni form six division zero mbona humsemi umemkomalia mama wa watuHana sehemu ya kuponea zaidi ya ubunge na CCM wamemchagua huyu wakijua hata elimu yake ni haba sana mwaka jana alikuwa form four resetter kwahiyo wanajua hatawasumbua.
Huyu dada hana CV hata ya mistari sita.
Kwa nini waliwateua kugombea ubunge kama waliona hawafai na hawana uwezo? Wana uwezo mkubwa ndio maana hao akina mama wameshinda acheni wivuKwa hiyo unaamini kuwa ataweza kuwakilisha kikamilifu kambi ya upinzani? Yeye na yule dada wa Mtwara? Na kama hataweza, hatakuwa na tofauti na wabunge wa Chama tawala ambao kazi yao kubwa ni kuwakilisha majimbo yao na sio kuisimamia serikali. Binafsi, sioni namna ambayo Chadema watakubali awawakilishe
Wakishinda wao matokeo hali wakishinda wengine sio halalimbowe alika kumzibia ridhiki dada wawatu sasa naye kachaluka sijui itakuwaje,maana kina mbowe hawatambui matokeo yoyote!! Labda wamfute uanachama!! Cdm buana😂😂😂😂😂😂
Form six failure na form four failure wanafanana? halafu Aida mbona kama una hasira na mimiMbowe ni form six division zero mbona humsemi umemkomalia mama wa watu
change is the only thing that does not change.The more things change the more they stay the same
Hana sehemu ya kuponea zaidi ya ubunge na CCM wamemchagua huyu wakijua hata elimu yake ni haba sana mwaka jana alikuwa form four resetter kwahiyo wanajua hatawasumbua.
Huyu dada hana CV hata ya mistari sita.
Vipi hujaenda barabarani kama ambavyo mlikuwa mnaambiwa na kibaraka Lissu? Yaani wanasaccos ni wabaya sana yaani mmemwacha Lissu pekee yake kweli?Huyo dada kwangu akienda bungeni ni sawa, na akiamua kusimamia msimamo wa chama ni sawa. Cha muhimu akiwa bungeni asigeuzwe kondoo wa kutii mambo ya ccm. Tena kuna uwezekano wa kuwashinda kwa hoja hao viazi wengi wa ccm.
Good comment ever!. Asante sana dada kwa upeo mkubwa ulionao!Tutakapoweza kutofautisha Kati ya elimu ya mkoloni ya kupata makaratasi tunayoyaita vyeti na elimu yetu isiyo rasmi, elimu ya mazingira, ujuzi na uzoefu; na tutakapoweza kuacha kuwadharau wasio na makaratasi na kutumia elimu ya makaratasi kuboresha ujuzi wa asili ya mtanzania na matumizi sahihi ya rasilimali na desturi zilizo bora tutaweza kuleta maendeleo makubwa zaidi kwenye jamii zetu na kupiga hatua kubwa sana katika kuleta maendeleo ya nchi yetu
Go go Aidah......Wachana na wale wenye madigrii kwenye vyeti bila uzalendo mioyoni wanaoishia kutumika kama vibaraka kwa nchi yetu
Patamu apo............kama uchaguzi huu ni batili basi na huyu chama chake kisimtambueChama kiliniamini kikarudisha mamlaka kwa wananchi na wananchi wamenipa mamlaka. Kama niliapa Chadema siwezi isaliti hali kadhalika siwezi wasaliti wananchi wa Nkasi Kaskazini.
Naomba nitoe msimamo wangu, mimi Aida nimechaguliwa kwa mujibu wa sheria na ni mbunge halali wa Nkasi Kaskazini, ninasubiri kuapishwa na hakuna jambo jingine, sina mabadiliko mengine.
Pia soma> Aida Khenan: Demokrasia ni muhimu kuliko ushindi wangu. Nipo tayari kuungana na wenzangu kwa maamuzi yoyote
Vipi hujaenda barabarani kama ambavyo mlikuwa mnaambiwa na kibaraka Lissu? Yaani wanasaccos ni wabaya sana yaani mmemwacha Lissu pekee yake kweli?