Nyie sifieni ,shangilieni hiyo dhulma ya kuiba kura Ila yakikukuta hamna wa kukutetea au kukusemea...kamaliza upinzani Sasa ataanza kuwashughulikia nyie ccm ndani kwa ndani.
Awashughulikie mara ya pili?
Hivi unajua kwa nini CCM ya leo inaitwa CCM MPYA?
Hivi kati ya CCM na CHADEMA nani kashughulikiwa zaidi?
Sema CHADEMA wana makelele saana.
JPM ndiye kiongozi pekee aliyeweza kukirudisha CCM kwenye mstari baada ya kupoteza dira kwa miaka kadhaa.