Uchaguzi 2020 Aidah Kenani (CHADEMA) wa Nkasi Kaskazini amuangusha bwana Ally Kessy (CCM)

Uchaguzi 2020 Aidah Kenani (CHADEMA) wa Nkasi Kaskazini amuangusha bwana Ally Kessy (CCM)

Akili za hovyo hizi kwanini iwaadhiri upi zani tu, ccm wameiba Sana uchaguzi huu jiwe anataka USHINDI wa kishindo
leteni ushahidi wa kuibiwa yani mtu kama lema angeibiwa si pangechimbika ila kapigwa kialali ndio mana katulia
 
Hoja yako ingekuwa nzito zaidi kama pasingekuwa na kelele za kura feki kila kona ya nchi, lakini kwa mazingira yaliyokuwepo hoja yako siipi uzito.
Malalamiko ya kura feki ni kawe tu mbona mbowe na Lema hawajalalamika
 
Wee vipi?
Watu wanashangaa "MUUJIZA" wa mtu anapigwa risasi kutoka kushoto lakini risasi "ZOTE 16" zinakata kona na kupiga mguu wa kulia.
We unashangaa haka kamuujiza kaduchu hivi?

Kwa hiyo unataka kusema je labda?
Vipi kuhusu ile iliyopigwa juu ikakata kona na kupasua kioo cha daladala na kutoa roho ya aliyekuwa mwanafunzi!?
 
Kama watu hawajajitokeza kwa nini iwaathiri wapinzani peke yao isiwaathiri na hao CCM?!
Watu wa CCM ni loyal so huwa always wanajitokeza kupiga kura wapinzani ni watu wa mihemuko tu kwenye kampeni kura hawapigi
 
Kabisa mkuu. ..watu wanafurahia Ila hakika tutakuja kulia na kusaga meno wote hapo baadae.
Hizo kauli zenu za vitisho ndizo zilizowafanya watanzania waamue kutowachagua.
Walie na kusaga meno kwa lipi?
 
Hawakusahau wameanza kujistukia.
Kubalini tu hiki ni kichapo Cha shoga mwizi mlisema lazima awe rais Sasa mmekimbilia visababu vyenu vya kila siku, mwambieni huyo beberu wenu Amsterdam Kama mna ushahidi akawashughulikie mahakamani.
 
NEC ilishapanga matokeo kupiga kura ilikuwa hadaa ukiangalia wagombea wengine wamepachikiwa kura ionekane watu walichaguachagua. Karatasi za kura wamevujisha kwa watu wao wa chama kijan na kupiga kura mapema na kuingiza vituoni baada ya kuwaondoa Mawakala wa vyama vingine. Kama nec ndio imefanya haya tusijilaumu
 
Huyu Ally Kessy ana kiherehere, nafikiri ni mkakati wa Chama kumuondoa bungeni. Haiwezekani hata kidogo mbunge wa CCM kushindwa kwa namna mambo yalivyo majimboni mwaka huu. Kessy hatakiwi aingie bungeni mara hii ndio maana kapigwa chini.
Nadhani idea yake hata wenzake hawako pamoja naye.
 
Inawezekana na wapinzani wamempigia rais
Ungeuliza suali za kura za Upinzani ingekuwa bora Zaidi. Maana hata ukizijumlisha zilizoharibika,za Upinzani zote na za mmbunge wa ccm. Bado hazifii za raisi kwa jumla.
 
Ungeuliza suali za kura za Upinzani ingekuwa bora Zaidi. Maana hata ukizijumlisha zilizoharibika,za Upinzani zote na za mmbunge wa ccm. Bado hazifii za raisi kwa jumla.
mwambie mbunge akusanye ushahidi akienda mahakamani anashinda kiurahisi kabisa kama ni kweli
 
Hii geresha haiwezekani Tanzania nzima ashinde mbunge mmoja CHADEMA, shtukeni huu ni mtego utawanasa wote, humo bungeni atanyanyaswa mpaka ajute na hatakuwa na support, wajenga hoja wote wametolewa, kama vipi warudishieni kajimbo hako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo muda si mrefu atajiunga na ccm
 
Mpaka sasa hivi wapinzani wamefika wangapi ?
 
Back
Top Bottom