Huyu ni miongoni mwa wabunge waliokuwa wanatoa pendekezo kiongozi wa nchi aongezewe muhula wa kuendelea kutawala.Huyu Ally Kessy ana kiherehere, nafkiri ni mkakati wa Chama kumuondoa bungeni. Haiwezekani hata kidogo mbunge wa CCM kushindwa kwa namna mambo yalivyo majimboni mwaka huu. Kessy hatakiwi aingie bungeni mara hii ndio maana kapigwa chini.