Uchaguzi 2020 Aidah Kenani (CHADEMA) wa Nkasi Kaskazini amuangusha bwana Ally Kessy (CCM)

Uchaguzi 2020 Aidah Kenani (CHADEMA) wa Nkasi Kaskazini amuangusha bwana Ally Kessy (CCM)

Eti Kessy kadondoshwa[emoji15]!
Yaani yule Kessy aliyekuwa anapiga kelele bungeni meko aongezewe muda!?
Nimeshangaa Sana hiyo ya kesi ni maigizo tosha, hafu ushindi wamepewa kina mama tu
 
Eti Kessy kadondoshwa[emoji15]!
Yaani yule Kessy aliyekuwa anapiga kelele bungeni meko aongezewe muda!??
Hayo ni maigizo na maagizo kutoka remote centre!
Hilo ni chenga la macho ili ionekane zoezi limekuwa fair! Utasikia meko anavuojua kunanga atasema "kama uchaguzi haukuwa huru na haki mbona huyu mpinzani alitangazwa?"
...huu ni mchezo umechezwa na tiaises kwa maelekezo maalum, then hakutakuwa na kitu cha kushangaza huyo Kessy akija akiteuliwa kuwa mbunge!View attachment 1615720
Duh!! Haya matokeo na watu wakashangilia kabisa!!! Hatari sana..
 
Msiwaonee watumishi waliosimamia zoezi hili. Wao wametekeleza wajibu wao kadiri ya maelekezo waliyopewa na Viongozi kazini wenye MAMLAKA. (Mabosi) ambao ni wateule. Hata Ma DED nao wametekeleza wajibu tu na maelekezo ya Serikali ambayo kimsingi ni ya wananchi
 
Namuombea huyu dada apewe usirikiano na CHADEMA, laa sivyo atakuwa na wakati mgumu sana bungeni. Kutimiza majukumu yake ya kibunge na kufuata matakwa/masharti ya Chama.
Huyu Dada bora awaachie CCM hilo Jimbo, akatae huo uteuzi

Itakuwa vizuri aungane na wabunge wa Chama chake waliozulumiwa haki zao
 
Huyo Mkurugenzi wa Halmashauri aliyemtangaza yuko salama?
Natamani kumjua!
 
Halafu huyo Ally kessy atakuwa katolewa kafara makusudi.

Si ndo Yule alikuwa anasema magufuli aongezewe miaka?

Wamemuona huyo mropokaji wamemchinjia baharini
 
Hawa ghasia naye ana gundu kushindwa mwaka huu hakukuwa na uchaguzi aisee. But I'm happy hao wamama wawili wameenda bungeni Ila sioni impact yao
Nadhani hoja ya korosho ndiyo imemuangusha! Alikuwa miongoni mwa wabunge wa kusini waliopinga serikali kuchukua fedha halali za wakulima.

Kilichotoka kule ni kile ambacho Waziri Mkuu aliambiwa,"Ningeanza kupiga shangazi zake'!
 
Huyo Alli kesi ndo Yule aliyesema magufuli alazimishwe kuongeza miaka
Huko Nkasi hakukuwa hata na mawakala baadhi ya vituo, CHADEMA itashindaje kama siyo MIPANGO YA KUFUNIKA KOMBE NI NINI? USHAONEA WAAPI
 
Nadhani hoja ya korosho ndiyo imemuangusha! Alikuwa miongoni mwa wabumnge wa kusini waliopinga serikali kuchukua fedha halali za wakulima.
Kilichotoka kule ni kile ambacho Waziri Mkuu aliamiwa,"Ningeanza kupiga hata shangazi zake'
Hawa ghasia alisahau kuomba msamaha na hivi mwafundenge huweka vinyongo moyoni tena hajasahau loh. Nape alikubali kuomba msamaha huku anarekodiwa ikulu Ila kapata ubunge kapiga zake kimya, eeeh mwenye nguvu mpishe aisee.
 
Tatizo wapinzani wengi walikua sio wapinzani wenye uchungu na Taifa hili ila walikua wanapafa maelekezo kutoka Nje ya nchi hetu. Na ndyo maana unaona yanayoendelea huko twitter nk.

Badala ya mtu kuingia bungeni kushindana kwa hoja yeye anaamua kusikiliza maelekezo ya kubana plasta mdomo na kutoingia bungeni. Atarudije sasa bungeni aisee.
 
Eti Kessy kadondoshwa[emoji15]!

Yaani yule Kessy aliyekuwa anapiga kelele bungeni meko aongezewe muda!?

Hayo ni maigizo na maagizo kutoka remote centre!

Hilo ni chenga la macho ili ionekane zoezi limekuwa fair! Utasikia meko anavuojua kunanga atasema "kama uchaguzi haukuwa huru na haki mbona huyu mpinzani alitangazwa?"

Huu ni mchezo umechezwa na tiaises kwa maelekezo maalum, then hakutakuwa na kitu cha kushangaza huyo Kessy akija akiteuliwa kuwa mbunge!
Wee vipi?
Watu wanashangaa "MUUJIZA" wa mtu anapigwa risasi kutoka kushoto lakini risasi "ZOTE 16" zinakata kona na kupiga mguu wa kulia.
We unashangaa haka kamuujiza kaduchu hivi?
 
Ati kwa aibu wameanza kubalance vitabu, sijui hii account kawafundisha paramagamba au Polepole?
 
Back
Top Bottom