Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Halafu nikusikie umemtangaza mpinzani ameshinda! Huyu amejiingiza matatani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo ni mpango mzee.Halafu nikusikie umemtangaza mpinzani ameshinda! Huyu amejiingiza matatani.
😂😂😂😂😂😂😂😂 Dah si mchezo. Hili neno lazima litakua linatokea kwa ki ingereza sasa kiingereza chake sijui ni kipi.Bosheni: ni yale malonya yanayojazwa kwenye kiatu au begi (machinga) ili litune vizuri kama vile limejaa vitu, ilimradi kuweka shepu!
Nashauri awe anaunga mkono juhudu za CCM isije ikafika 2025 wakaanza kumsingizia kuwa ndio alichelewesha maendeleoNamuombea huyu dada apewe usirikiano na CHADEMA, laa sivyo atakuwa na wakati mgumu sana bungeni. Kutimiza majukumu yake ya kibunge na kufuata matakwa/masharti ya Chama.
Mimi akiunga mkono juhudi sitashangaaa na ingekuwa vizuri siku ya ufunguzi wa Bunge aunge mkono hapohapo.Huyo Dada lazima amepewa ushindi on condition. Ndani ya mwaka ataunga juhudi.. Watch this.
Aisee ila kuna ujinga tunafanyiwaEti Kessy kadondoshwa[emoji15]!
Yaani yule Kessy aliyekuwa anapiga kelele bungeni meko aongezewe muda!??
Hayo ni maigizo na maagizo kutoka remote centre!
Hilo ni chenga la macho ili ionekane zoezi limekuwa fair! Utasikia meko anavuojua kunanga atasema "kama uchaguzi haukuwa huru na haki mbona huyu mpinzani alitangazwa?"
...huu ni mchezo umechezwa na tiaises kwa maelekezo maalum, then hakutakuwa na kitu cha kushangaza huyo Kessy akija akiteuliwa kuwa mbunge!View attachment 1615720
Hivyo ndio vituko na mauzauza ya tume kibaya wametangaza wenyewe hiyo copy n paste baada ya kutazama saaaaaana!! 😀 😀Eti Kessy kadondoshwa[emoji15]!
Yaani yule Kessy aliyekuwa anapiga kelele bungeni meko aongezewe muda!??
Hayo ni maigizo na maagizo kutoka remote centre!
Hilo ni chenga la macho ili ionekane zoezi limekuwa fair! Utasikia meko anavuojua kunanga atasema "kama uchaguzi haukuwa huru na haki mbona huyu mpinzani alitangazwa?"
...huu ni mchezo umechezwa na tiaises kwa maelekezo maalum, then hakutakuwa na kitu cha kushangaza huyo Kessy akija akiteuliwa kuwa mbunge!View attachment 1615720
Wameanza kujistukia..... acha waendelee kupoteza muda ila wajue hii nchi haitawaliki na chama kimoja.
Wajinga wanajaribu kuchezea akili za watu, wapuuzi kweli.Hii geresha haiwezekani Tanzania nzima ashinde mbunge mmoja CHADEMA, shtukeni huu ni mtego utawanasa wote, humo bungeni atanyanyaswa mpaka ajute na hatakuwa na support, wajenga hoja wote wametolewa, kama vipi warudishieni kajimbo hako.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16].watakuwa walisahau kuzipeleka huko.
Mungu anapotaka kumuabisha mtu huwa hivyo na huko hao wabunge wa upinzani walikopitishwa ukute upinzani wamepata diwani mmoja au hakuna kabisa 😀 😀 😀kichekesho hiki, yaani chadema wakose kwingine koote huko walipozoeleka waje kupata Nkasi?!.
mie naona hapa NEC CCM wamezd kuchemsha!