Unaelewa kweli kilichoko hapa?Inawezekana na wapinzani wamempigia rais
NASIKIA HUYU MKURUGENZI ALITAMKA WAZI KWAMBA LIWALO NA LIWE. INASEMEKANA HUYU NDUGU AMETOKEA KUWA MCHA MUNGU KWELI KWELI TOFAUTI NA KIPINDI ANACHAGULIWA NA KUAPISHWA. NA ALIKUWEPO WAKATI MZEE ALIWAAMBIA KWAMBA "NIKULIPE MSHAHARA, NIKUPE NYUMBA, GARI, DEREVA HALAFU ETI UMTANGAZE MPINZANI KASHINDA".Hatimae chama pendwa cha CHADEMA kimepata mbunge mmoja mpaka sasa aitwae Aidah Kenani wa Nkasi kaskazini baada ya kumuangusha Bwana Ally Keissy, mbunge machachari kwa kutetea hata upuuzi wa chama. Hongera sana kwa mkurugenzi ambae hata amethubutu kumtamka mpinzani.
=====
Ally Mohamed Keissy(CCM) amepata kura 19,972, Aida Khenan wa CHADEMA kura 21,226 tofauti ni kura 1,254 mshindi ni Aida Khenan jimbo la Nkasi Kaskazini.
Missana Kwangula, msimamizi wa uchaguzi ambaye pia ni mkurugenzi mtendaji wa wilaya Nkasi mkoani Rukwa ndiye aliyetangaza matokeo haya usiku wa leo.
Hongereni kwa ushindi tunaamini Sasa Tz itakuwa sawa na nchi zilizoendelea kama Qatar, Canada, uk, german and the like, maana wakwimisha naendeleo hawapo tena.mwambie mbunge akusanye ushahidi akienda mahakamani anashinda kiurahisi kabisa kama ni kweli
Hawezi kuelewa lkn muda mchache ujao wataelewa maana dikteta hana rafiki.Unaelewa kweli kilichoko hapa?
Kura za Ubunge CCM Ni 35,000+ na anaefuatia ni 11,000, jumla na wengine ni Kama 50,000+ hivi waliopiga kura za Ubunge.
Sasa kichekesho Magu ana kura 165,000+ za Urais, Ina maana Kuna watu 115,000+ wamepiga kura za Urais tu?
Tulisema hapa kwamba kufungiwa kwa mitandao ya kijamii kutaleta madhara hadi kwa wanachama watiifu huko Greenland.Mwenzao Aida khenan ameshinda ubunge kwenye wakati mgumu sana, si Mbowe wala Lissu aliyeenda kumuombea kura huko Nkasi , acha ale maisha tena bila makato ya kuchangia chama....
Kura za Lissu hizi 1,933,271.Ha ha ha Mbeligijiii wa Amsterdam bora hizo hela za kampeni mngefanyia shughuli nyingine.Waache upuuzi hao.
Kura feki NI nchi nzima. Ukiona Hadi kwenye ngome ya CCM Ruvuma Jimbo la mbinga Mjini kata ya mpepai mgombea wa CCM alikataliwa tangu mwanzo.Malalamiko ya kura feki ni kawe tu mbona mbowe na Lema hawajalalamika
Ni haki yake, mimi ningemshauri aende bungeni akachukue posho na mishahara isaidie kuimarisha chama cahake.Kashatoa msimamo wakeView attachment 1616187
Hii tweet inawauma watu wa Lumumba kana kwamba huyu dada ni mwana ccm mwenzaoKashatoa msimamo wakeView attachment 1616187
Chadema wanahitaji hiyo ruzuku yake na kumbe akina Halima, Bulaya, etc watakuwepo kupitia viti maalum.Huyu Dada bora awaachie CCM hilo Jimbo, akatae huo uteuzi
Itakuwa vizuri aungane na wabunge wa Chama chake waliozulumiwa haki zao
Naimani atakuwa na familia na malengo yake binafsi pia. Tena ni single mother na watoto wakusomesha.Ni haki yake, mimi ningemshauri aende bungeni akachukue posho na mishahara isaidie kuimarisha chama cahake.
Nyie sifieni ,shangilieni hiyo dhulma ya kuiba kura Ila yakikukuta hamna wa kukutetea au kukusemea...kamaliza upinzani Sasa ataanza kuwashughulikia nyie ccm ndani kwa ndani.Hizo kauli zenu za vitisho ndizo zilizowafanya watanzania waamue kutowachagua.
Walie na kusaga meno kwa lipi?