AIM Global, Qnet, Forever Living, One Coin, GNLD na wengine mbadili mbinu za utapeli, hii ya utajiri ndani ya siku 2 imepitwa na wakati

πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ mzee baba walitaka kukugeuza fursa
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Kwa hyo kwenda Malysia ni sifa, acheni utapeli,QNET ni matapeli kama walivyo matapeli wengine ,
Hzo nguvu mnazitumia kuwarubuni watu mngekuwa mnawahamasisha kilimo au ufugaji nchi hii ingekuwa mbali sana.
 
Soma maelezo yangu yote mkuu,umekuja na low mileage thinking kama mlokole ambaye anasoma biblia kamstari kamoja tu na kuanza kubweteka.Kumbuka kila fursa inayokuletea income lazima ufanye kazi !
Kwa hyo kwenda Malysia ni sifa, acheni utaperi ,QNET ni mataperi kama walivyo mataperi wengine ,
Hzo nguvu mnazitumia kuwarubuni watu mngekuwa mnawahamasisha kilimo au ufugaji nchi hii ingekuwa mbali sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kwenda kwenye mikutano malaysia ndio maisha mazuri?Ungetuambia huyo shemeji yako ameingiza mamilioni mangapi tangu ajiunge ungekuwa umeongea point ya maana.

Kwenda kwenye vikao malaysia sio kutoboa maisha,hata wale forever pia wapo wanaosafiri kwenda kuhubiri nchi zingine ila bado haina future.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi biashara za network marketing si utapeli sema ni biashara ngumu Sana sasahiv kupata watu wa kujiunga ni ngumu na bidhaa zao ni ghali hapo ndo wanakosea hawasemi kweli unadanganywa utapata faida kwa haraka kumbe inahtajika usote haswa walionufaika ni wale walioanza hizi biashara miaka ya nyuma uko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Soma maelezo yangu yote mkuu,umekuja na low mileage thinking kama mlokole ambaye anasoma biblia kamstari kamoja tu na kuanza kubweteka.Kumbuka kila fursa inayokuletea income lazima ufanye kazi !

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekujibu based on your primary argument,(ambayo ni Malaysia) siajona kingine cha maana kukujibu kwenye bandiko lako. Labda weka hoja nyingine, hii nchi inahitaji ukombozi wa fikra aisee, pamoja na utapeli wenu bado mnawapata tena wanafunzi wa chuo.
 
Amejenga nyumba mkuu within this 3 yrs ! na huko Malaysia anaenda kwa pesa zake zinazotokana na juhudi zake za network marketing.Nawafahamu hao marafiki zangu miaka mitatu ya nyuma walikuwa ktk hatua gani kimaisha na sahizi wapo wapi, mmoja kati yao kapiga hela ndefu na mwaka jana kawekeza ktk kikimo chha mihogo eka 120 huko Tanga maeneo ya Mkata, kikubwa hapa naona physical progress siyo blabla ! na wanajitoa kwelikweli kufanya kazi across the whole country,upo hapo nyonyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukombozi wa kifikra ni pamoja na kufanya comprehensive business analysis before huja opt fursa unayoletewa mezani.Mkuu kama huna pesa tuliza mshono,hii dunia kiongozi ni kubwa sana na fursa za kibiashara ni nyingi pia ! sipo hapa kuku convince but we need to think out of the box na tusiwe na corrupt mind ya kujenelaizi kuwa all network marketing hapa Tz ni utapeli tu hapana mkuu.Sema tu wanaotuletea hizo fursa baadhi yao wanakuja na motivational convincing language inayowafanya watu waamini kuwa wanaweza kupata fedha kwa uharaka na pengine bila kufanya kazi hapana,everything you have to toil
Nimekujibu based on your primary argument,(ambayo ni Malaysia) siajona kingine cha maana kukujibu kwenye bandiko lako. Labda weka hoja nyingine, hii nchi inahitaji ukombozi wa fikra aisee, pamoja na utapeli wenu bado mnawapata tena wanafunzi wa chuo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
GOODMORNING MY FELLOW BUSINESS PARTNER.
 
Bhasi waambie nawewe wakuunganishe huko ili upige hela kama wao!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uongo mtupu hawa hawa jamaa wa Qnet wanaovaa suti za kuunga unga za pale karume eti ndio wamiliki nyumba?

Wanachojua wale jamaa ni kudanganya tu ooh kuna watu wameacha kazi TRA wamejiunga QNET,nillikaona kadada ka moja kwny video huko watsap kanasema eti hii kazi ya QNET imenipa gari yangu hii aina ya Benz wkt hio gari ni bmw x5 nikasema tu hiiiiiiiii baghosha,ntombanewe.
 
hivi huwa wanasalimia hivi kweli hata saa 8 mchana au mnawasingizia tu?
[emoji2][emoji2][emoji2]
[emoji28][emoji28], yea sure ndo hiyo no longolongo.

Sent from Nokia 7 Plus
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…