Huyo jamaa nadhan atakuwa n member wa Qnet,so anajaribu kutetea.Uongo mtupu hawa hawa jamaa wa Qnet wanaovaa suti za kuunga unga za pale karume eti ndio wamiliki nyumba?
Wanachojua wale jamaa ni kudanganya tu ooh kuna watu wameacha kazi TRA wamejiunga QNET,nillikaona kadada ka moja kwny video huko watsap kanasema eti hii kazi ya QNET imenipa gari yangu hii aina ya Benz wkt hio gari ni bmx x5 nikasema tu hiiiiiiiii baghosha,ntombanewe.
Huyo jamaa nadhan atakuwa n member wa Qnet,so anajaribu kutetea.
Sent from Nokia 7 Plus
Chief, network marketing za Tanzania zimejaa utapeli utapeli, watu wanarubuniwa wanaenda wanakopa maskini ya Mungu, convincing power inayotumika ni kubwa mno ila mara tu mtu akishatoa pesa anaachwa solemba, ahadi zote alizoaidiwa atasaidiwa kutafuta partiners pindi akipata pesa inaota mbawa ila anaambiwa akomae kivyovyote ndo maana unakuta hadi anaenda kukodi magari ili awadanganye watu wamwamini ili aweze kurudisha pesa zake, me huwa simung'unyi maneno kwenye hili QNET ni matapeliUkombozi wa kifikra ni pamoja na kufanya comprehensive business analysis before huja opt fursa unayoletewa mezani.Mkuu kama huna pesa tuliza mshono,hii dunia kiongozi ni kubwa sana na fursa za kibiashara ni nyingi pia ! sipo hapa kuku convince but we need to think out of the box na tusiwe na corrupt mind ya kujenelaizi kuwa all network marketing hapa Tz ni utapeli tu hapana mkuu.Sema tu wanaotuletea hizo fursa baadhi yao wanakuja na motivational convincing language inayowafanya watu waamini kuwa wanaweza kupata fedha kwa uharaka na pengine bila kufanya kazi hapana,everything you have to toil
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu naona ujanielewa na umeni-quote sivyo mimi kama Akwota nasema hivi "Qnet" n matapeli wanawaumiza watu,hii kauli ya lack of Global exposure ni umavi wa kiwango cha lami na ndiyo baadhi ya kauli mnazotumia kuwarubuni watu kuingi huko kwenye utapeli.Lack of global exposure inawasumbua wengi sana aisee,so sad yaani !
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu naona ujanielewa na umeni-quote sivyo mimi kama Akwota nasema hivi "Qnet" n matapeli wanawaumiza watu,hii kauli ya lack of Global exposure ni umavi wa kiwango cha lami na ndiyo baadhi ya kauli mnazotumia kuwarubuni watu kuingi huko kwenye utapeli.
Sent from Nokia 7 Plus
Amejenga nyumba mkuu within this 3 yrs ! na huko Malaysia anaenda kwa pesa zake zinazotokana na juhudi zake za network marketing.Nawafahamu hao marafiki zangu miaka mitatu ya nyuma walikuwa ktk hatua gani kimaisha na sahizi wapo wapi, mmoja kati yao kapiga hela ndefu na mwaka jana kawekeza ktk kikimo chha mihogo eka 120 huko Tanga maeneo ya Mkata, kikubwa hapa naona physical progress siyo blabla ! na wanajitoa kwelikweli kufanya kazi across the whole country,upo hapo nyonyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo ndio gia zao qnet, kwenda malysia, ugiriki, sijui wapi. Hizo ndio gia zao za kitaahira.Kwa hyo kwenda Malysia ni sifa, acheni utapeli,QNET ni matapeli kama walivyo matapeli wengine ,
Hzo nguvu mnazitumia kuwarubuni watu mngekuwa mnawahamasisha kilimo au ufugaji nchi hii ingekuwa mbali sana.
Kwa nini weww usiungane na hao jamaa zako uuage umasikini maana wewe na familia yako, ukoo wenu mmejaa ufukara. Kwa nini usiwashawishi ndugu zako na jamaa zako wakauza kila kitu mkaungana na hao jamaa zako mkapiga hela, mkaenda Malysia, Ugiriki, Ufaransa na hata New York mkale maisha muage ufukara muwe mabilionea? Kwa nini msifanye hivyo? Huu ndio wakati wenu kuuaga umasikini.Nimeangalia michango ya mawazo ya watu humu ndani inasikitisha kweli,kila mtu kasimulia matukio tu lakini hakuna mtu aliye kuja na simulizi la uzoefu katika moja ya hizo network marketing.Ni kweli zipo unprofessional and illegal scheme ambazo zinawahadaa watu ili kuwarubuni but siyo zote.Hiyo Qnet mnayoiponda as if ipo kwa lengo la kuwaibia watu naweza kusema ni a big NO maana nina jamaa zangu watatu wanapiga kazi sana na huu ni mwaka wa tatu nawaona wanapata exposure ya kwenda nje huko Malaysia kwaajili ya mikutano ya kupeana mbinu na uzoefu wa biashara,kikubwa hapa siyo kuingia fursa halafu unabaki unabweteka na shemejiyo nyumbani ukiamini umetapeliwa badala ya wewe nawe kufanya network marketing ili kile ulichokiwekeza kiweze kurudi na mwisho wa siku uendelee kunufaika na hiyo fursa kwa kufanya kazi.Hapa kazi tu !
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu. We angalia hata katika huu uzi 99% ya wadau ni walioponea chupuchupu kuingia kwenye huu uhuni. Sijaona aliyejitokeza kusema yeye amefanikiwa na anapata hizo billioni kila mwaka. Huu ni uhuni ambao inabidi upigwe marufuku na serikaliNimeangalia michango ya mawazo ya watu humu ndani inasikitisha kweli,kila mtu kasimulia matukio tu lakini hakuna mtu aliye kuja na simulizi la uzoefu katika moja ya hizo network marketing.Ni kweli zipo unprofessional and illegal scheme ambazo zinawahadaa watu ili kuwarubuni but siyo zote.Hiyo Qnet mnayoiponda as if ipo kwa lengo la kuwaibia watu naweza kusema ni a big NO maana nina jamaa zangu watatu wanapiga kazi sana na huu ni mwaka wa tatu nawaona wanapata exposure ya kwenda nje huko Malaysia kwaajili ya mikutano ya kupeana mbinu na uzoefu wa biashara,kikubwa hapa siyo kuingia fursa halafu unabaki unabweteka na shemejiyo nyumbani ukiamini umetapeliwa badala ya wewe nawe kufanya network marketing ili kile ulichokiwekeza kiweze kurudi na mwisho wa siku uendelee kunufaika na hiyo fursa kwa kufanya kazi.Hapa kazi tu !
Sent using Jamii Forums mobile app
Global exposure gani, kua qnet?πππ.Lack of global exposure inawasumbua wengi sana aisee,so sad yaani !
Sent using Jamii Forums mobile app
Watanzania wangapi utawauzia saa ya million 5? Yani ni kichekeshoHizi biashara za network marketing si utapeli sema ni biashara ngumu Sana sasahiv kupata watu wa kujiunga ni ngumu na bidhaa zao ni ghali hapo ndo wanakosea hawasemi kweli unadanganywa utapata faida kwa haraka kumbe inahtajika usote haswa walionufaika ni wale walioanza hizi biashara miaka ya nyuma uko
Sent using Jamii Forums mobile app
Watanzania wangapi utawauzia saa ya million 5? Yani ni kichekesho
Sent using Jamii Forums mobile app
Global exposure gani, kua qnet?[emoji23][emoji23][emoji23].
Aisee. Ujinga bado ni tatizo kubwa sana Tanzania.
Watanzania wangapi utawauzia saa ya million 5? Yani ni kichekesho
Sent using Jamii Forums mobile app