"AIM LOW ENOUGH": Njia ya kusaidia kukuza ujuzi wa mtoto mwenye uwezo mdogo

"AIM LOW ENOUGH": Njia ya kusaidia kukuza ujuzi wa mtoto mwenye uwezo mdogo

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Tunapush sana watoto katika level ambayo sio uwezo wao.

Kinachofatia ni mtoto kuwa muoga zaidi wa kuthubutu na kukuogopa wewe bila kukuheshima.

Tambua uwezo wa mtoto wako alafu mwekee challenge ya chini ambayo unayojua akitumia uwezo kidogo wa ziada atashinda tu. Hii itamfariji mtoto ila pia itampa motisha ya kutaka level nyingine ya challenge.

Mtoto wa john ni wa john, wa kwako ni kwako, tuache kujitafatia sifa kupitia watoto.

Let your kid aim low enough.
 
Back
Top Bottom