Kuna eneo moja singida lina dhahabu ya kutosha wachina wameibeba sana..
ukigundua eneo lako lina madini, haraka unatakiwa unakimbia ofisi ya madini ya kanda unaomba leseni ili usije kuondolewa na uchimbe kihalali.
Mkuu unadhani ni kitu gani ambacho wale wa tanzanite wamekifanyia kazi na kuwafanya waweze zaidi kukabiliana na mazingira kuliko wale wanaotafuta dhahabu?au kwa kuwa tanzanite hazina cha kusaga mawe wala kuchuja na madawa?nimenda msumbiji kdogo wamejitahdi.lakn bdo.merelani wameweza.wachmbaji wagold wanatakiwa wakawaige hao wa tanzanite.