Aina gani ya Madini inapatikana kwenye eneo unaloishi/Unalotoka au unalolifahamu!

Aina gani ya Madini inapatikana kwenye eneo unaloishi/Unalotoka au unalolifahamu!

ukigundua eneo lako lina madini, haraka unatakiwa unakimbia ofisi ya madini ya kanda unaomba leseni ili usije kuondolewa na uchimbe kihalali.

dah!! ngoja kwanza nikimbie haraka nikaombe leseni then nitarudi hapa kuwaambia.
 
Morogoro, kilosa-ludewa, Moonstone.
 
Maeneo yenye madini yapo mengi sna.tatzo wawekezaji wakubw wamelekeza nguvu kubwa kwenye tanzanite.
 
Garama ya kuendesha mgodi watanzanite cyo mchzo nibilion of shiling na sometime unafeli njiani.unanza kuomb uzamin tna
 
je laiti hzo nguvu zakuendesha mgod watanzanite ukatumia kwnye gold u make wonder.gold ni rahisi n garama ndogo kuendesh
 
Mfano mzuri hap endabash kuna group of8people waliazish mgodi bilamtaji walianz kupat ju madin.wakapata more than 1bn.
 
Mgodi ukaja ukakata.wakawa hawana hela yamoto kufukuzia.wakampata mzamin akawapa mil40 yamoto naukarabati wamgodi.
 
Wakaukuta tna production rock kubw.kwa moto mmoja walikuwa wanatoa mifuko200hdi250 yagram20.hapo kwamoto unapata kilo
 
Walipata hela nyng sna.kwabahat mbaya mvua kubwa ikafunika mgodi..Wakawa hawana hela tna yakufukua.wakomb uzamin wakapat
 
mzami akawa ametumia mil70.kufufua mgodi..je walikuwa hawana mpaka waombe uzamini jbu n hapan.hela wanazipata ila stareh
 
maranyng kupata wazamin kama hawa ningumu sna.machmbo mengi yamebaki mashmo.HAKUNA WACHIMBAJI.
 
Lushoto IPO uranium ya kufa mtu....trust me IPO watu wanajengea kokoto tu

wewe Elli, unaijuwa Uranium ukiiona? Tokea lini ikwa ya kujengea?
 
Last edited by a moderator:
nimefik haya maeneo nimeona halihalisi..ENDABASH..IFUNDA MVUHA MSESULE NA MBULU.hay yote n maeneo ya dhahabu niliyotja
 
KWa ujumla madini meng tz hakuna wachmbaji..wengi hawana mitaji yakutosha. wangekuwa km wenzetu w merelani hapo sawa
 
Nawakubali sna hawa wenzetu wa meralani wamethubutu wameweza.laiti kwny gold wanasubutu km hao tungekuw mbali sna wtz
 
nimenda msumbiji kdogo wamejitahdi.lakn bdo.merelani wameweza.wachmbaji wagold wanatakiwa wakawaige hao wa tanzanite.
 
km kuna yeyote kwnye maoni tofout au amefanyakaz migodin aje hapa atoe maon yake.NA AJE NACHANGAMOTO ZILIZOPO.ahsanten
 
nimenda msumbiji kdogo wamejitahdi.lakn bdo.merelani wameweza.wachmbaji wagold wanatakiwa wakawaige hao wa tanzanite.
Mkuu unadhani ni kitu gani ambacho wale wa tanzanite wamekifanyia kazi na kuwafanya waweze zaidi kukabiliana na mazingira kuliko wale wanaotafuta dhahabu?au kwa kuwa tanzanite hazina cha kusaga mawe wala kuchuja na madawa?
 
Tanzanite wameweza kutokana nahistoria waliojijengea kuwa n jiwe lathamani nahakuna km hlo.pili historia ya mafanikio.
 
Back
Top Bottom