BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 5,197
- 14,380
Kazi Gani hiyo mkuu unayofanya!Siku Sita fanya kazi,utende mambo Yako yote na upumzike(Kutoka20:8__).Mbinguni tutafika tukiwa hoi wakuu sio mchezo fikiria tu lifestyle ya kuchelewa kulala na kuwahi kuamka mwili haupati fursa ya kupumzika ipasavyo unalala saa 7 usiku afu saa 10 alfajiri unapaswa uwe tayari umeamka.
AIna hii ya maisha lazima upate changomoto ya afya ya akili ukiongeza na ugumu wa maisha yaani ukitoboa miaka 50 plus basi mungu ni mwema.
Huko hakuna kupumzika ni moto kwakwenda mbeleMpaka kifo, tutapumzika kwa Satan
Kuungua au kuimba mapambio forever, bora niungue tu 😂😂😂Huko hakuna kupumzika ni moto kwakwenda mbele
Mwenyezi Mungu ana huruma zaidi ya mama mzazi aliyemuumbia fuko la kutuhifadhi tumboni mwake....Kuungua au kuimba mapambio forever, bora niungue tu 😂😂😂
Inawezekana huko kukawa na pombe na ngono ambayo ndiyo mambo yake huyo SATAN?!!Mpaka kifo, tutapumzika kwa Satan
Kulala saa 9 ni kujiendekeza, ukiamua unaweza kuanza kujifunza kulala hata saa 4 usiku..Acha tu....
Na hapa ndio kwanza macho makavu...kulala saa 9 na kuamka saa 12...tutafanyaje sasa na mjini tunakupenda ?!!
Ni kweli mkuu....Kulala saa 9 ni kujiendekeza, ukiamua unaweza kuanza kujifunza kulala hata saa 4 usiku..
Exquisite....Kuna misemo hii ya maisha...
Life is a game, play it well.
Don't work hard, work smart.
Kibongobongo au daslaaam, wengi tunajitafuta kwa kuajiriwa au kujiajiri. Na moja ya maendeleo ya kujitafuta ni kuwa na P.O. BOX yako, na mjini kumewahiwa ama laah uwe na pesa ndefu hata kariakoo ukitaka kiwanja unapata.
Wengi wetu tumepata pioboksi Mapinga, Vikindu, Gezaulole, Madale, Marambamawili halafu tunajitia moyo naishi kwa nafasi, kuna hewa safi, nafuga, nabustani ya mchicha and the like....
Ila kazi au ujasiriamali ni kariakoo au posta au mwenge au sinza. Kutoka kwenye hivyo vitongoji na uwahi kuamsha goli lako au kusaini saa mbili asubuhi lazima uamke saa kumi alfajiri. Na safari ya kurudi nyumbani jioni na mafoleni ukiwahi umefika saa tano usiku au sita. Ukijitahidi una kausafiri kako unafika saa 4 usiku.
Ukofika kwako hulali puu kama gunia la mahindi, kwanza ukague yaliyotokea kwako siku nzima, ule, uoge, uandae nguo za kesho, kama una mifugo (hata mbwa) uichungulie bandani kuja kulala saa saba usiku eehehehehe.
Afya ya akili lazima ijizime data kadri umri unavyoenda. Suluhisho ni nini?
Saa ingine haya maisha ni konyo tuu.
Maisha ya namna hio magumu sana..Kuna misemo hii ya maisha...

Oooh, kwa herini jf narudi kazini. Kazini my foot!Mpaka kifo, tutapumzika kwa Satan
Hii ni weekend, hebu relax basi!Oooh, kwa herini jf narudi kazini. Kazini my foot!
Exquisite....
Mimi ni nani nikupinge auntie yetu msomi ,classy woman ,wa maisha bora na wa mjini haswaa ?!!
Umehamia wapi kutoka ushuani Mikocheni ?!!
Maisha ya namna hio magumu sana..
Nadhani ikiwa hivyo sitadumu kwenye hio kazi..