APEFACE
JF-Expert Member
- Oct 1, 2016
- 5,316
- 9,596
Mwanamke
1. Mzuri wa Sura
2. Mzuri wa Umbo
3. MWENYE AKILI?
Ni nadra sana hasa miaka yetu hii. Nahangaika sana nipate mwanamke wa namna hiyo. Inakuwa changamoto.
Unakuta dada mzuri wa umbo na sura lakini kichwani.... Empty.
Mi huyu wangu nahisi nae akili hana,ila ni mzuri kwelikweli.
Toka juzi,jana hadi leo anataka nimpelekee kitimoto, asubuhi tu ya saa moja anataka nimpelekee kitimoto, kapiga sijapokea, kuja kumpigia kaniblock na sio mara ya kwanza kuniblock. Ni wale madem dizaini wana tabia za kitoto.
Ni pisi but empty headed. Wenye akili wengi unakuta ni ma-polygon