igwee frm anambra
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 957
- 1,496
Mwanangu Chizi Maarifa,Mwanamke
1. Mzuri wa Sura
2. Mzuri wa Umbo
3. MWENYE AKILI?
Ni nadra sana hasa miaka yetu hii. Nahangaika sana nipate mwanamke wa namna hiyo. Inakuwa changamoto.
Unakuta dada mzuri wa umbo na sura lakini kichwani.... Empty. Unaumia sana kuwa huyu si anaweza hata kukuambukiza upumbavu?
Miaka hii.. sijui ni kutokana na aina ya vyakula tulavyo...watoto wanazaliwa wazuri sana hasa mabinti. Lakini kichwani kumejaa tu mayonnaise hamna kitu.
Sisi wengine tunabaki tu tunaumia. Maana pia shida inakuwa kubwa wenye akili nao hawazaani sana ukilinganisha na hawa wengine...
NIMPATE WAPI MWANAMKE MZURI WA SURA,UMBO NA MWENYE AKILI (MZURI WA TABIA)? Nimpate wapi mimi Chizi Maarifa?
Huwezi kosa unachokitaka kama una pesa ya kutosha,
Nakushauri tafuta sana pesa , kwani hawa mabinti wenye sifa ulizotaja hawataki kuolewa(mahusiano) na vijana masikini unga unga siku ipite ...they rather be alone than be unhappy .
Mimi baba yako wakati namuoa mama yako niliweka kigezo kimoja tu....AWE NA HOFU YA KWELI YA MUNGU" kwani hata mimi nilikuwa /ninayo, in between we're managing . .. ndoa yenye furaha imedumu kwa miaka mingi sasa,
Vijana wa sasa( ME&KE) mnakosea sana wakati wa kuanzisha /kutengeneza mahusiano ,
Ushauri
_________
Tafuta mwanamke wa kufanana naye, maisha ya ndoa ni safari ndefu na ngumu sana.