Aina hii ya Wanawake ni kama Kutafuta Nyoka mwenye Miguu

Mwanamke
1. Mzuri wa Sura
2. Mzuri wa Umbo
3. MWENYE AKILI?

Ni nadra sana hasa miaka yetu hii. Nahangaika sana nipate mwanamke wa namna hiyo. Inakuwa changamoto.

Unakuta dada mzuri wa umbo na sura lakini kichwani.... Empty.

Mi huyu wangu nahisi nae akili hana,ila ni mzuri kwelikweli.

Toka juzi,jana hadi leo anataka nimpelekee kitimoto, asubuhi tu ya saa moja anataka nimpelekee kitimoto, kapiga sijapokea, kuja kumpigia kaniblock na sio mara ya kwanza kuniblock. Ni wale madem dizaini wana tabia za kitoto.

Ni pisi but empty headed. Wenye akili wengi unakuta ni ma-polygon
 

Samaki hukunjwa angalia mbichi, ukisumbuka na wakavu hutafanikiwa mpaka siku ya mwisho.
 
Upo sahihi huyo hana akili. Nadhani mkipishana kidogo tu anakimbilia kuku block.empty headed woman... Na anataka kitimoto kwa lazima kama amemiss sana si akanunue mwenyewe? Huwa wanakuwa na uzuri ila kichwani magarasa kabisa.
 
Mungu anakuletea wakufanana nae mkuu, sasa wewe huna sura umbo lile wadada wanapenda wala akili utampata nani mwenye vyote 🤣🤣🤣🤣
 
Wengine wana tako,zuri akili safi, sura nzuri lakini wafupiiiiiii.
 
A typical woman in Dar es salaam is either dealing with a sponsor, baby daddy issues or friends with benefits arrangement. Some deal with all the three.
 
Mkuu uwezi pata sifa hizo zote labda uzae wako umfunze hiyo sifa namba 3
 
Umechelewa,wameisha mkuu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…