Aina hii ya Wanawake ni kama Kutafuta Nyoka mwenye Miguu

Mwanangu Chizi Maarifa,
Huwezi kosa unachokitaka kama una pesa ya kutosha,
Nakushauri tafuta sana pesa , kwani hawa mabinti wenye sifa ulizotaja hawataki kuolewa(mahusiano) na vijana masikini unga unga siku ipite ...they rather be alone than be unhappy .

Mimi baba yako wakati namuoa mama yako niliweka kigezo kimoja tu....AWE NA HOFU YA KWELI YA MUNGU" kwani hata mimi nilikuwa /ninayo, in between we're managing . .. ndoa yenye furaha imedumu kwa miaka mingi sasa,

Vijana wa sasa( ME&KE) mnakosea sana wakati wa kuanzisha /kutengeneza mahusiano ,

Ushauri
_________
Tafuta mwanamke wa kufanana naye, maisha ya ndoa ni safari ndefu na ngumu sana.
 
Mzee wa kuchakata mbususu unalalamikia offsprings wako unaowazaa hovyo mitaani.

Wanarithi akili zako ndo maana mayonise hayaishi vichwani.

Oa
 
Binadamu yeyeto anaekojolewa hawezi kuwa na akili hii ni nature bila kujali jinsia
 
Yaani ukitumia kigezo umekwisha hao ni opportunity wakubwa kabisa kaa mbali.Utapigwa mzinga mmoja takatifu.
Mwanamke asiyeomba pesa labda yule anaejimud. Hakuna mwanamke asiyetaka hela wote hao ni zuga tu Ili unase.
 
Wapo ila kukutana naye na kumpata inahitajika neema!

Halafu huwa ni wagumu sana kuridhia kuingia kwenye mahusiano!

Lakini akikuridhia na kukupa nafasi moyoni mbona utafurahi
Mwenyewe!

Kuwapata inahitajika subira yakutosha.
Na wao ni too selectives hadi wanakuja chuja
 
Kwani wewe wanakuonaje? Unazo Sifa wanazotaka? HANDSOME AND INTELIGENT?
Jichunguze wewe kwanza harafu mwombe Mungu akupe Mwanamke wa kufanana na wewe kwa Sifa hizo ulizotaja!
 
YOTE NI KWA UTUKUFU WA MUUMBAJI.
ETI UWE NA SURA NZURI, UMBILE ZURI, HALAFU UNA RADHA POA, NA AKILI PIA?
KUNA KITU LAZIMA MUUMBA AKUPUNGUZIE.
SURA, SHAPE, RANGI,AKILI VYOTE POA. ILA MANENO YA ULIMI SASA!!!!!!😡😡
True anaweza akanyimwa tabia akawa na maringo na dharau au kauli chafu
 
Wewe mama mbona umeolewa ukiwa huna vyote na ndo kitu ambacho nami nakwepa kutokea? Anyway angalau una matako makubwa. Ila kichwani huna kitu...ndo kusema huwezi pewa vyote?
 
wapo ila kuwapata inahitaji bidii na bahati...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…