Requal
JF-Expert Member
- Jun 5, 2020
- 1,025
- 1,923
Pamoja na imani kwamba mahusiano bora huwezekana kwa kukutana na mtu sahihi, na ni dhahiri kwamba mwanamke yeyote anaweza kabisa kuwa na mahusiano na mwanaume yeyote kwa amani ikiwa kila mmoja wao atakuwa 'motivated' kujua mahitaji ya mwenzi wake huyo na kuyajibu ipasavyo, na hapa ndipo kunakuwa na uwezekano mkubwa kabisa kwa watu kuanzisha na kuendeleza mahusiano na mtu yeyote bila kujali mwonekano wake, tabia na utamduni wake.
Binafsi kuna aina ya wanawake hata kama ni wazuri kiasi gani kimuonekano sijawahi kabisa kuwatamani kuwa nao kimahusiano, ikitokea nikawa nao huko mbeleni lazma nitaawacha baada ya kukidhi haja zangu, nitaorodhesha baadhi ya mambo machache hapo chini ambayo mwanamke akiwa nayo hanivutii kabisa.
Wanawake wabandika kope, kucha bandia, ama anaefuga kucha ndefu, anaejikrimu (mwenye madoa ya rangi mbili mwilini), aliyechora tattoo kwenye mwili wake, aliyetoboa sikio zaidi ya mara moja, anaenyoa kiduku, anaevaa zile jinsi za kuchanikachanika, wanaoweka vipini kwenye ulimi, kitovuni na puani, wavaa vikuku mguuni, mwanamke mjuaji na mwenye gubu yaani hawa sivutiki nao kabisa hata wawe warembo kama bikra maria, asilimia kubwa wanawake wa namna hii Wana tabia zisizofaa
Ladies and gents njoo hapa mseme aina ya watu ambao hawawavutii kuingia nao kwenye mahusiano