yupi mkuu?Huyu anaonekana ni mvaaji wa jeans za kacha ngoja akibadili hiyo aliyovaa utayaamini maneno yangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Picha Yapiliyupi mkuu?
😳😳😳😳.. unanitisha mkuuKuna demu nimetoka kumtimua geto mida hii kwa sifa zifuatazo
1 Mbishi na kila kitu yeye anakijua vizuri
2 muda wote yeye na simu tu kufuatilia ujinga fb
3 mnene (mwanamke mnene huwa simuelewi)
4 nimegundua ana ubaguzi wa kikabila,yeye ni mnyakyusa hivyo makabila mengine anatuona karatasi tu
5 Sifa moja mbaya zaidi Ambayo sijaweza kuivumilia sitotaja maana naweza kutapika kwa kinyaa ila wajuvi wa kuchakata mzigo huwa hawarudii mwanamke Wa namna hiyo wakishagundua kama ana tatizo hilo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamke mwanaccm simpendi hata kumuonaMwanaume bakhili, simtaki hata kwa nyongeza.!! [emoji28]
Nilikuwa nasoma mahaliTunawaita everything i know, kila kitu ni aidha kilishawahi kumtokea yeye au mtu wake wa karibu.
Hahaha ndio ujuaji huo usiokua na kichwa wala miguu.Nilikuwa nasoma mahali
Kulikuwa na mchaga mmoja na mhaya mmoja , hawa jamaa walikuwa wanashindana kwa kuelezea jinsi ndugu zao walivyo wasomi