Aina ipi ya mtu huwezi kuwa naye kwenye mahusiano ya kudumu ( Serious relationship)?

Kuna demu nimetoka kumtimua geto mida hii kwa sifa zifuatazo
1 Mbishi na kila kitu yeye anakijua vizuri
2 muda wote yeye na simu tu kufuatilia ujinga fb
3 mnene (mwanamke mnene huwa simuelewi)
4 nimegundua ana ubaguzi wa kikabila,yeye ni mnyakyusa hivyo makabila mengine anatuona karatasi tu
5 Sifa moja mbaya zaidi Ambayo sijaweza kuivumilia sitotaja maana naweza kutapika kwa kinyaa ila wajuvi wa kuchakata mzigo huwa hawarudii mwanamke Wa namna hiyo wakishagundua kama ana tatizo hilo
 
😳😳😳😳.. unanitisha mkuu
 
mwanamke mchoyo, aliyejichubua muongo, mbinafsi na mwenye dharau.HAKIKA HATOIONJA HATA SENTI 5 YANGU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…