Aina ipi ya mtu huwezi kuwa naye kwenye mahusiano ya kudumu ( Serious relationship)?

Wanawake wakurwa siwatak nikikuuliza unatoka mkoa gan ukasema mara najua wale wale

Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
 
Natafuta zangu na bado nahudumiwa, wanaume mmeumbwa kuwa providers msitumie nguvu kubwa kubadili hilo kamwe halitobadilika..!
Hebu tafuta pesa za kutosha uhudumie mke na familia yako, Acha uzembe na vijisababu.!!
 
Mkuu embu itaje, au kunuka k!
 
Huwa tunawaacha waongee weee, coz kila mada yeye either ilimtokea au rafiki yake. Siku hizi ukitaka ufurahie maisha kuwa msikilizaji zaidi y muongeaji.
Sahihi kabisa ni bora kua msikikizaji tho inakera sana, mara nyingi hupenda kukatisha maongezi ya mtu au watu na kuingiza ya kwake, mnaweza kua kikundi mnaongea akaja akasikiliza kidogo tu akaingilia yeye basi hapo ataongea mwanzo mwisho atawavuruga kupita kawaida, kwa kweli it's boring.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…