Aina ipi ya mtu huwezi kuwa naye kwenye mahusiano ya kudumu ( Serious relationship)?

Natafuta zangu na bado nahudumiwa, wanaume mmeumbwa kuwa providers msitumie nguvu kubwa kubadili hilo kamwe halitobadilika..!
Hebu tafuta pesa za kutosha uhudumie mke na familia yako, Acha uzembe na vijisababu.!!
Wanawake wa aina yako ndio mnaowaponza wanawake wengine.Ndiyo pesa tunatafuta na tunahudumia lakini kamwe hatuhudumii mwanamke wa aina yako unayeweka mbele maslahi ya pesa kuliko utu.Nina uhakika hata huyo anayekuhudumia hafanyi kwa sababu ya mapenzi bali matumizi.Utajitetea sana ila wanawake wa type yako msio na aibu hamfai katika jamii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole Mr. Stephen..

Acha khasira tafuta pesa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…