Aina ipi ya mtu huwezi kuwa naye kwenye mahusiano ya kudumu ( Serious relationship)?

Hahahahahah nimecheka kinoma.
 
Kimtu flani kichoyo na kibinafsi kutumia kitu chake kwa ajili ya mwingine.!!
Halafu viwatu vya hivii hupenda vitu vya watu hatari..!
Hii inaashiria kijamaa chako cha pembeni ni kibahili sana ndio maana unachukia sana hio tabia.
 
Hakuna raia anataka mtu bakhili, wakafie huko na uchoyo wao!!
We unatoa zako? Mie hela zangu utakula ila usiwe mchoyo na zako endapo ntakuwa nimeishiwa.

Hata usiponipa cash ila tukaspend tu, tule na kunywa vizuri. Hapo tutaenda sawa ila ukiwa na mkono mfupi kama wheel-spanner halafu mtu wa mizinga jua hatutakuwa na muda mrefu penzini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…