Bro, mtu kwenda na fashion haihusiani na tabia, kuvaa wigi, kubandika kope/kucha, kubleach nywele, kuvaa jeans ya kuchanika, lol huo ni ujana tu wakishaingia kwenye majukumu wanaacha,
Me nanyoa kiduku na pia na dye nywele zangu wakati mwingine na still nina familia inanitegemea na wanapata mahitaji yote sahihi, babymama anabandika kope na kucha, anavaa wigi na weaving na bado ni best mama and best partner in the world,
Nancy Sumari huyu wa sasa, unamjua Nancy wa miaka hiyoooo? Tusianze kufukua makaburi ila usihukumu kitabu kwa kava lake la nje.