Aina ipi ya mtu huwezi kuwa naye kwenye mahusiano ya kudumu ( Serious relationship)?

Mwanamke mwenye historia ya kusagana anipitie mbali
 
Wadada wa kubleach nywele na wanavaa miwani kubwa kama beyonce[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hao unavaaa ndomu mbili. Ikitokea mna deti
 
Umeua! Yaani ujumbe wako ndo bonge la meseji kwa hao ndg zetu, ubarikiwe sana kwa kusema ukweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…