Aina ipi ya mtu huwezi kuwa naye kwenye mahusiano ya kudumu ( Serious relationship)?

[emoji116][emoji116][emoji116]Ona hiyo sample ya mrembo, halafu mfananishe na utoporo mnaofanya.
Hawa ndio tunaooa sasa
Ungeweka ya manzi wako ingependeza sana, unamezea mate vya watu, lol
 
Wadada wa kubleach nywele na wanavaa miwani kubwa kama beyonce[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hao unavaaa ndomu mbili. Ikitokea mna deti
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nimecheka sana.
Napenda kubleach nywele tokea nasoma sema naogopa home na mpenzi.
Siku nikamuambia mume wangu nataka kuweka bleach halooo alinifurumusha balaa.

Na akasema ningekukuta umeweka bleach nisingekuwa nawe.

Huwa mnaogopa nini?

Miwani nayo imewakosea nini? Hujui huu ni mwezi wa 6 ni kipupwe miwani inasaidia vumbi na upepo machoni?

Mimi ni short hair sasa unataka nikate kama mwanafunzi? Lazima niweke vikorombezo kama rough dread, kunyoa style kiduku, kukoleza rangi.
 
Ulipendeza sana, natamani ningekuona,
Achana na vigezo vya mtoa mada, hajui kwenda na fashoooni, akaoe village girl hukoooo, mjini hapawezi.
Hawa watu ukiwasikiliza hutoishi maisha yako.
Sasa hata kuvaa jeans imechanika chanika wana mind.

Eti kakiduku tu wanamind.

Hivi mtu unanyoa nywele wanataka uwe kama mwanafunzi wa shule?
 
mwanamke mwenye body image issues anakuaga msumbufu sana. mkigombana kidogo tu atahisi humpendi kwa sababu ya mwili wake. wanakuaga na low self esteem hata umsifie vipi haitoshi.

type hii sio wa kuwa nae milele, mtazinguana sana, zile stress za mwili wake zitakustress hadi wewe. kila muda atahisi unachepuka au unavutiwa na wanawake wengine anaoona yeye wana mwili mzuri kuliko yeye.

streeeeesssssssssssssss!!!!!!!!!!!!!
 
Pombe sio kigezo Sheria za wanaume kama hanywi pombe starehe yake nyingne ni wanaweka utakuja kulia na kusaga meno
Sio kweli, kuna wanaume nawafahamu hawanywi pombe na ni wastaarabu tu wanajiheshimu hawafanyi uhuni.
Hiyo ni tabia ya mtu tu
 
Sio kweli, kuna wanaume nawafahamu hawanywi pombe na ni wastaarabu tu wanajiheshimu hawafanyi uhuni.
Hiyo ni tabia ya mtu tu
Huo ustaarabu wa kuwa ona ndio utakuponza jaribu kuishi nao ata week's mbili utaniambia
 
Niko kwenye kundi la wanaovaa jeans za kuchanwa
Navaaga hizo ripped jeans ila haichanwi sana hio fashion imenikonga moyo sana ukizingatia hamna mtu anatoa mbuni yake kuninunulia hata rozali.
Wanaoniona wanavyoniona acha wanione,Duniani kila unachokifanya lazima kuna mtu hakimfurahishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…