Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kyela wanajua uyoga wa kula na wenye sumu, upo mwingine mtamu sana mdogomdogo unaitwa UBUNYASWA, yaani msimu wa uyoga familia zinasonga ugali tu mboga iko poriniKuna yenye sumu lakini
Hii chai 😃😀😄
Aina hii ya uyoga kule kwetu, hauvunwi na watu wazima yaani ni uyoga wa kitoto, hufunwa na vitoto vya kike, kwenye michezo yao ya kototo.
Nahonyo naona una ufahamu mkubwa na hii kituKuna uoka pori huota kwenye mapori/ misitu ile ambayo juu kunafunga, chini kuna kuwa na uwazo na vichaka vichaka, humo utakuta uyoga wa aina tofauti.
.
.Alafu kuna mwingine huota kwenye uwanda wa wazi zaidi kwa kule nyumba uwanda huu huotesha uyoga wa aina mbili tu.
Kama nyuzi zilizofumwaHapana no aina ya uyoga
Gredi Wani ni upi hapo?Aise napenda sana uyoga, ila nimeumisi kwa zaidi ya miaka 30 hivi sasa.